Wengi wawapi usiige hamchelewi kuigaiga hadi kupakwa mafuta watoto mnapotezana wenyewe kwa wenyewe, hakuna pesa rahisi au comment ya jamaa aliekuelekeza hujaelewa pumbavu? Wewe ni Guru?Mbn kuna watu wengi wanagenerate income
BongonyosoTiktok hailipi mtu.
Labda uulize kwa nini facebook ukiwa Bongo hulipwi?
Muelekeze hajui ndugu usimtukane he need to be well educated about this wengi hawajui kuhusu Monitization process za onlineWasalimie sana hapo kijiweni kwenu unafikiri ni rahisi? Sukuma hata mkokoteni Ukishindwa uza Chupa za maji hela za mtandaoni sio rahisi km unavyofikiri usijue ukadata mwisho utasilimu amri, paypol ushawahi Iona ina-operate bongo?
Kivip wana Make Money ? ni kupitia Kuwa Brand ambassador basi Hizo donations wanawake ndio wanafaidiMbn kuna watu wengi wanagenerate income
Beginner itambidi imchukue miaka zaidi ya mitatu kua Pro na hapo kashavuja jasho sana bila kuambua chochote ni yeye tu anachoma Bando miaka yote ndio waanze kumfikiria kwamba labda anafollower tuanze kumlipa, sasa hawa wapuuzi wanaota eti leo tu kafungua account TikTok kesho kapata likes keshokutwa kapata follower yupo kwenye ATM ana-download pesa za TikTok pumbavu hata Google Adsense haipo hivyoMuelekeze hajui ndugu usimtukane he need to be well educated about this wengi hawajui kuhusu Monitization process za online
yan kikubwa ajue Hio haiwez kumlipa ndani ya miaka michach lazma asote na awe mbunifu
Huku Kwetu mambo meng tuko nyuma kama anataka imlip awe dalali wa bidha
Ajibadirishe awe Mwanamke sasa atutingishie matako tumpe likesKivip wana Make Money ? ni kupitia Kuwa Brand ambassador basi Hizo donations wanawake ndio wanafaidi
Ni rahisi sana Tiktok hata hapa bongo, nina watu nawafahamu wanalipwa ila sio hela nyingi wanaingiza kama US$ 5 - 15 kwa siku ila bando wanatumia kweli kweli maana tiktok live streaming inakula bando.Wasalimie sana hapo kijiweni kwenu unafikiri ni rahisi? Sukuma hata mkokoteni Ukishindwa uza Chupa za maji hela za mtandaoni sio rahisi km unavyofikiri usijue ukadata mwisho utasilimu amri, paypol ushawahi Iona ina-operate bongo?
Hawajui and even wale tiktok creator wa bongo wote wana fanya comedy and danceBeginner itambidi imchukue miaka zaidi ya mitatu kua Pro na hapo kashavuja jasho sana sasa hawa wapuuzi wanaota eti Leo kafungua account TikTok kesho kapata likes keshokutwa yupo kwenye ATM ana-download pesa za TikTok pumbavu hata Google Adsense haipo hivyo
😂😂😂😂 Ndio hivo auze dawa za nguvu za kiumeAjibadirishe awe Mwanamke sasa atutingishie matako tumpe likes
Mkuu unajua au unaongelea stori?, Tiktok ni rahisi sana muhimu ni muda na bando lake tu.Beginner itambidi imchukue miaka zaidi ya mitatu kua Pro na hapo kashavuja jasho sana sasa hawa wapuuzi wanaota eti Leo kafungua account TikTok kesho kapata likes keshokutwa yupo kwenye ATM ana-download pesa za TikTok pumbavu hata Google Adsense haipo hivyo
So unaelewa hao live streaming ndio wanapewa donations na fans sasa huyo hajuiNi rahisi sana Tiktok hata hapa bongo, nina watu nawafahamu wanalipwa ila sio hela nyingi wanaingiza kama US$ 5 - 15 kwa siku ila bando wanatumia kweli kweli maana tiktok live streaming inakula bando.
So akiwa na mtaji mzuri wa followers wanao gift na bando la kuanzia anaweza akafanya kitu.
Unapo anza safari ya mtandao na kutengeneza brand huiwez iweka kama kaz maana you ll give up sio easy kuanza ku make mullah acha upotoshaji huwez amua kuacha kaz na kuwekeza muda huko unless una pesa nying bankMkuu unajua au unaongelea stori?, Tiktok ni rahisi sana muhimu ni muda na bando lake tu.
Kupata followers wa uhakika anabidi aende kwenye Acc za watu kama Kufuli la bank au Mwalimu wa Tiktok alafu kwa hawa wakenya aende kutafuta na kuwasoma followers wanao gift sasa yeye aende.wafollow then awasumbue wamfollow ila sasa awasumbue kimkakati ili asionekane msumbufu.
Ni rahisi sana na narudia ni rahisi sana, ushuhuda ninao wakutosha. So afanye kama kazi na sio kujaribu
Umekunywa bapa kubwa au Ndogo? Yaan unasema awasumbue alafu hausemi awasumbue watanzania unasema awasumbue wakenya alafu hapo hapo huyo mtu yupo Tanzania sio Kenya na bado unasema rahisi mnafikiri kila kitu ni mtelemko tu yaan uamke leo ujiunge TikTok kesho upo kwenye ATM tusingesikia wakenya wakilalamika ugumu wa maisha, punguza kileviawasumbue wamfollow ila sasa awasumbue kimkakati ili asionekane msumbufu.
How much does TikTok pay per view?Wakuu za mchana
Hivi unatakiwa umeet requirement zipi ili uanzeee kulipwaa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baasTufanye kazi za mikono, hii itatusaidia kuokoa muda kujenga afya na maadili hivyo kuepuka janga la ushoga
Creator fund haiko tanzaniaHow much does TikTok pay per view?
Top creators have revealed that TikTok pays between $0.02 and $0.04 per 1,000 views through the Creator Fund program.
8 ways to start making money on TikTok
Kila la heri Mkuu, wengine humu ni kula kulala, hawana idea yoyote Kichwani, wengine ni Wakulima huko Mpwapwike, huwa wanasikia tu Youtube wanalipa, facebook wanalipa, na kuna wengine ndo wanajua leo kuwa Tik tok pia wanalipa!
- Join the TikTok Creativity Program. Users who've built up a substantial following might consider making money through the TikTok Creativity Program. ...
- Sell merch. ...
- Go live for virtual gifts. ...
- Affiliate partnerships. ...
- Create in-feed ads. ...
- Crowdfund projects. ...
- Collect tips. ...
- Patreon subscriptions.
Wasikuvunje Moyo.
Wee ndo umesema kweli.Uwe na followers 1k plus ili uweze kwenda live
Uwe na visa Acc uiunganishe tumia hata voda
Uwe na contents
Uwe na followers wanao gift
Kibongo bongo sioni sana ila Kenya wametupiga gap sana hapo
hapo nikuwa dalaliCreator fund haiko tanzania