Turudieni Huduma za benki,M-PESA laki 300000 unakatwa 7000
Polee sana inabidi ukubali tuu hakuna namna mambo ni mwendokasi.
Tatzo tuna ndugu vijijin hatuezi epuka kutuma kwa mitandao, serikali inabid iingilie kati hii si sawa hata kidogo.Turudi tu benki ukitoa 300,000 unakatwa 800
Mkuu mm juzi nilitoa 370000 wakanikata 6000Tigo kwa kweli mnakera sana, nimemtumia mtu laki 2 leo, mimi nimekatwa elfu moja na yeye ili atoe laki 2 kamili imebidi nimuongezee elfu 4500....so nimetuma laki 2 04500....ukijumlisha na ile elfu 1 unapata 5500 ambayo ndyo Total ya makato yenu. Hapana hii si haki mnatuumiza sana wananchi
Wakizipiga marufuku ujue na JF ndio mwisho. Sema waingilie kati huduma za miamala ya pesa watoe huduma za mawasiliano tu.Sielewi serikal kwann inazilea hizi kampuni za simu
Waweke kiwango maalum kwa kampuni zote na ambazo si mzigo kwa mwananchi, mbona mwanzo elfu 2500 tulikua hatulalamiki?? Ila si kwa 5500 jamani ni nyingi aiseeWakizipiga marufuku ujue na JF ndio mwisho. Sema waingilie kati huduma za miamala ya pesa watoe huduma za mawasiliano tu.
Na wao ndo wabunge wa vijijini sbb miji yote mikubwa ni ukawawabunge Wa ccm wako wapi