Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 309
- 304
Na ukiangalia comment za wengi malalamiko yao ndo hayo. Sasa cjaelewa kwako imekubali vp?Sio kweli ukishajiunga unatoa unaweza hata weka line ya mtandao mwingine mimi nilijiunga line nikatoa na natumia halotel au voda lakin bado napata huduma.
Nina mwez wa tatu sasa