Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,067
- 4,101
Tigo wamekuja na wazo zuri la kutoa zawadi.
Lakini wafanyakazi wake wa idara ya i t sio waaminifu hata kidogo.
Wanagawa hizo zawadi kwa marafaiki zao, na wana namba zao za sh. Miamia ambazo huwa wanazitumia kuwasiliana na hao washindi feki.
Naomba kama kuna uwezekano taasisis ya kuzuia na kudhibiti rushwa takukuru ikimulike kitengo cha it cha kampuni hiyo na itaona jinsi haki za watu zinavyodhulumiwa na vihuni vichache.