😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Kunguru hata umchanganye na njiwa lazima alie kwaaaaaaaaaaaaaaaa
Tigo walipobuni promotion ya Halichachi washindani wake wakaja na promotion kama hiyo, wakapindisha pindisha maneno. Sasa tigo wamekuja na Jaza Ujazwe. Washindani wamebaki vinywa wazi hawana msamiati wa kuendana na jazwa ujazwe. MwanaJF kama unaweza saidia kuwapa msamiati utakaoleta ushindani kwa tigo. Tiririka hapa chini
Hiyo nomaaa PAKUA UPAKULIWEPakua upakuliwe.
ukizingatia mtandao wenyewe ni TIGO Itakuwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
jamani jf kiboko
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
au mamba