HahaPakua upakuliwe.
Tigo walipobuni promotion ya Halichachi washindani wake wakaja na promotion kama hiyo, wakapindisha pindisha maneno. Sasa tigo wamekuja na Jaza Ujazwe. Washindani wamebaki vinywa wazi hawana msamiati wa kuendana na jazwa ujazwe. MwanaJF kama unaweza saidia kuwapa msamiati utakaoleta ushindani kwa tigo. Tiririka hapa chini
Tigo Walianzisha *Halichachi*
Airtel Wakaiga *Hatupimi*
Voda Wakaiga *Haliishi*
Sasa Hivi Tigo Wameanzisha *JAZA UJAZWE*
Halotel na Wao Wameiga *INGIZA UINGIZWE*
Airtel na Wao Washaiga *RAMBA URAMBWE*
Vodacom na Wao Washaiga *TIA UTIWE*
*Hapa Nilipo Naenda Kusajir Lain ya ZANTEL Maana Sipendagi Ujinga mm*♂♂♂
INGIZWA UINGIZWE
RAMBA URAMBWE
TIWA UTIWE
mmmh
Ingiza Uingizwe
Pakua upakuliwe.
Chomeka uchomekwe
bandua ubanduliwe
ingiza uingiziwe
Pakua upakuliwe.
Kwangua ukwanguliwe
Ingiza Uingizwe