TIGO Wasumbufu Sana!

TIGO Wasumbufu Sana!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,782
Reaction score
3,333
Nimenunua umeme wa Luku,juzi Kupitia njia ya simu! Hele zimekatwa,token sijapewa,nimepiga huduma kwa wateja nirudishiwe Mwamala wangu,siku ya pili nazungushwa! Subiri,hatujui Lini mtandao utakaa sawa ili urudishiwe hela zako!

Naomba TCRA waingilie hili swala la usumbufu na Dhuluma kwa wateja.Mteja hajapata huduma huna haja ya kukaa na hela zake.
 
Ni kweli TIGO ni wasumbufu mimi ishanitokea hii mara kadhaa. Ukiona hawakupi Token, piga simu TANESCO makao makuu watakupa Token zako kwa kukusomea.
 
Mtu unaanzaje kutumia tigo yaan upo timamu unatumia tigoo? Kichwani hamnazo
 
Mtandao wa hovyo sana huu
 
Nimenunua umeme wa Luku,juzi Kupitia njia ya simu! Hele zimekatwa,token sijapewa,nimepiga huduma kwa wateja nirudishiwe Mwamala wangu,siku ya pili nazungushwa! Subiri,hatujui Lini mtandao utakaa sawa ili urudishiwe hela zako!

Naomba TCRA waingilie hili swala la usumbufu na Dhuluma kwa wateja.Mteja hajapata huduma huna haja ya kukaa na hela zake.
Wafuate ofisini kwao (ofisi iliyokaribu) watakurudishia
 
Mtu unaanzaje kutumia tigo yaan upo timamu unatumia tigoo? Kichwani hamnazo
tigo ina offer nyingi na kila mtu anatumia mtandao anaopenda kutokana vifurushi vyake au offer zinazotolewa ,naona unajitoa ufahamu na kupeleka mada kwenye upuuzi wako unaowaza.
 
Back
Top Bottom