Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,202
Kiukweli huu mtandao wa Tigo wanazingua sana kwenye huduma zao asee.
Tangu jana nimenunua luku na hela wamekata lakini mpaka sasa Token zangu sijatumiwa .
Ukiwapigia simu ,simu inaiita muda mrefu sana wakipokea jibu lao ni moja tu huduma yako inashughulikiwa ,.
Kama kuna tatizo kwenye huduma husika kwa nini wasitoe taarifa mapema watu tujue kuliko huo usumbufu.
Huduma gani inashughulikiwa masaa zaidi ya 24 ifikie kipindi sasa tusifanyiane huduma kwa mazoea.