Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,938
airtel 3.5 gb kwa 2500
Si bora nilale mchana alafu usiku nijiunge gb30 kwa buku ambazo zina lasts kwa siku 3
airtel 3.5 gb kwa 2500
Si bora nilale mchana alafu usiku nijiunge gb30 kwa buku ambazo zina lasts kwa siku 3
WHAAAAAAAAAAAAAt???? Ina maana siku zote hizi Vodacom walikuwa wananiibia na hizi 2GB zao? Tell me you're kidding coz' ni zaidi ya miezi mitatu sasa nimekuwa nikijiunga na bundle ya wiki ya Vodacom bandika bandua!!! What about bundle yao ya mwezi... ni GB ngapi? Je, hizo 8GB zikiisha, unaendelea kuperuzi hadi wiki iishe?Ni ile ya 6,000/=
Imetoka 10GB sasa ni 8GB. Msg ya kwanza ni niliponunua last week, hii nyingine ni leo.
![]()
Si bora nilale mchana alafu usiku nijiunge gb30 kwa buku ambazo zina lasts kwa siku 3
Hii nayo ipo vipi...nayo wameshaipunguza ni siku 2
nayo wameshaipunguza ni siku 2
Hii ni special uku dodomaHii nayo ipo vipi...
tigo walikuwa na kifurushi saa 5 usiku hadi 11 asubuhi siku 3 mfululizo, kinauzwa shilingi 1000 na unapewa gb30.Hii nayo ipo vipi...
WHAAAAAAAAAAAAAt???? Ina maana siku zote hizi Vodacom walikuwa wananiibia na hizi 2GB zao? Tell me you're kidding coz' ni zaidi ya miezi mitatu sasa nimekuwa nikijiunga na bundle ya wiki ya Vodacom bandika bandua!!! What about bundle yao ya mwezi... ni GB ngapi? Je, hizo 8GB zikiisha, unaendelea kuperuzi hadi wiki iishe?
c.c Chief-Mkwawa
Kwa kuwa nalazimika kuwa connected lazima niwajaribu na hao wengine... nadhani nilikuwa nyuma kishenzi coz' since then Vodacom wanafahamika kwamba ndo the most expensive network lakini kwa muda wote huu bado nilikuwa naamini kwamba 6K/week with only +2GB ndo cheapest plan in the country.nafkiri airtel wanayo nzuri kuliko zote hizi mbili kwa sh 2500 kwa wiki.
sijawahi tumia bundle hii ila nafkiri zikiisha ndio basi unlimited ipo kwenye speed tu na sio mb's
Kwa hapa nilipo voda ndio kila kitu pamoja na migharama yao.
Maana naweza ku download movie ya GB 1.7 kwa saa mbili tu kwa simu.
Niliwapenda Airtel ila hawakawii kupotea hewani mwisho GB zinaisha hakuna ulilolifanya.
Yaani leo kukishakaa sawa tu, kazi ya kwanza ni kwenda kununua modem ya tigo/airtel... hiyo vodacom yenyewe ninayotumia ni full mizinguo... kabla huja-connect, zinaonekana signals(bars) za kutosha lakini uki-connect tu...bars zinashuka hadi mbili! File la 500M utalishushwa kwa karibu saa mbili!jaribu tigo/airtel miezi ya karibuni wame upgrade net yao, mimi kwa mitandao hio miwili 2gb unaishusha chini ya nusu saa
kwa huku ninakoishi tigo inafanya vyema tuu, naweza nikaunga ile bundle ya 1GB kwa 200tsh nadownload episode ya 300 mb kwa chini ya dk5..,,
Ni ile ya 6,000/=
Imetoka 10GB sasa ni 8GB. Msg ya kwanza ni niliponunua last week, hii nyingine ni leo.
![]()
Dah iyo nzuri... upo dar nn?
umeripoti? je kama hawajui? usilaumu polisi kuwa jirani yako jambazi wakati huwajawaambiaTigo ni Wezi sijui TCCRA wanafanya nini ...unalipia bundle ya Mwezi inakaa wiki tu inakata