Tigo wamepunguza bundle ya wiki bila kikomo kinyemela !

Tigo wamepunguza bundle ya wiki bila kikomo kinyemela !

Express yourself
 

Attachments

  • 1415602774959.jpg
    1415602774959.jpg
    28.9 KB · Views: 172
Ni ile ya 6,000/=
Imetoka 10GB sasa ni 8GB. Msg ya kwanza ni niliponunua last week, hii nyingine ni leo.

g7JymRQ.jpg
WHAAAAAAAAAAAAAt???? Ina maana siku zote hizi Vodacom walikuwa wananiibia na hizi 2GB zao? Tell me you're kidding coz' ni zaidi ya miezi mitatu sasa nimekuwa nikijiunga na bundle ya wiki ya Vodacom bandika bandua!!! What about bundle yao ya mwezi... ni GB ngapi? Je, hizo 8GB zikiisha, unaendelea kuperuzi hadi wiki iishe?

c.c Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Hii nayo ipo vipi...
tigo walikuwa na kifurushi saa 5 usiku hadi 11 asubuhi siku 3 mfululizo, kinauzwa shilingi 1000 na unapewa gb30.

ila sasa hivi wamepunguza idadi ya siku, unapewa siku 2 tu na sio 3 kama zamani
 
WHAAAAAAAAAAAAAt???? Ina maana siku zote hizi Vodacom walikuwa wananiibia na hizi 2GB zao? Tell me you're kidding coz' ni zaidi ya miezi mitatu sasa nimekuwa nikijiunga na bundle ya wiki ya Vodacom bandika bandua!!! What about bundle yao ya mwezi... ni GB ngapi? Je, hizo 8GB zikiisha, unaendelea kuperuzi hadi wiki iishe?

c.c Chief-Mkwawa

nafkiri airtel wanayo nzuri kuliko zote hizi mbili kwa sh 2500 kwa wiki.

sijawahi tumia bundle hii ila nafkiri zikiisha ndio basi unlimited ipo kwenye speed tu na sio mb's
 
Last edited by a moderator:
Kwa hapa nilipo voda ndio kila kitu pamoja na migharama yao.

Maana naweza ku download movie ya GB 1.7 kwa saa mbili tu kwa simu.

Niliwapenda Airtel ila hawakawii kupotea hewani mwisho GB zinaisha hakuna ulilolifanya.
 
nafkiri airtel wanayo nzuri kuliko zote hizi mbili kwa sh 2500 kwa wiki.

sijawahi tumia bundle hii ila nafkiri zikiisha ndio basi unlimited ipo kwenye speed tu na sio mb's
Kwa kuwa nalazimika kuwa connected lazima niwajaribu na hao wengine... nadhani nilikuwa nyuma kishenzi coz' since then Vodacom wanafahamika kwamba ndo the most expensive network lakini kwa muda wote huu bado nilikuwa naamini kwamba 6K/week with only +2GB ndo cheapest plan in the country.
 
Kwa hapa nilipo voda ndio kila kitu pamoja na migharama yao.

Maana naweza ku download movie ya GB 1.7 kwa saa mbili tu kwa simu.

Niliwapenda Airtel ila hawakawii kupotea hewani mwisho GB zinaisha hakuna ulilolifanya.

jaribu tigo/airtel miezi ya karibuni wame upgrade net yao, mimi kwa mitandao hio miwili 2gb unaishusha chini ya nusu saa
 
jaribu tigo/airtel miezi ya karibuni wame upgrade net yao, mimi kwa mitandao hio miwili 2gb unaishusha chini ya nusu saa
Yaani leo kukishakaa sawa tu, kazi ya kwanza ni kwenda kununua modem ya tigo/airtel... hiyo vodacom yenyewe ninayotumia ni full mizinguo... kabla huja-connect, zinaonekana signals(bars) za kutosha lakini uki-connect tu...bars zinashuka hadi mbili! File la 500M utalishushwa kwa karibu saa mbili!
 
yani hawa tigo hovyo kabisa ndio mana kila nikijiunga bundle linaisha mapema kuliko ninavotumia siku za nyuma

wanaogopa kutangaza kwenye media watakosa wateja

itabidi niamie airtel,line ya tigo ninunue kitochi niweke humo
 
kwa huku ninakoishi tigo inafanya vyema tuu, naweza nikaunga ile bundle ya 1GB kwa 200tsh nadownload episode ya 300 mb kwa chini ya dk5..,,
 

Attachments

  • 1415676824890.jpg
    1415676824890.jpg
    28.3 KB · Views: 84
  • 1415677009622.jpg
    1415677009622.jpg
    103.3 KB · Views: 79
Back
Top Bottom