Tigo wamenitukana kwa SMS hamsini! Sitavumilia

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,890
87,153
Upuuzi mtupu, Jaza Ujazwe ujinga mtupu, niweke airtime ya Tzs. 50,000/= nikaambulia meseji hamsini eti ndio nimejazwa!!! Tigo mnitake radhi kwa ujinga huu
Screenshot_2017-07-01-21-41-50.png
 
Ulitaka ujazwe kiasi ganiLkn pia nirahisi tu hutaki kujazwa usijaze
 
Back
Top Bottom