Ukimpigia mtu kama hapatikani badala ya kukuambia hapatikani wanakuletea kwanza matangazo yao ukimaliza kuyasikiliza ndipo unaambiwa unayempigia hapatikani. Mimi kama mteja hii inanikera jamani.
kwani line za mitandao mingene zimeisha ua ?Ukimpigia mtu kama hapatikani badala ya kukuambia hapatikani wanakuletea kwanza matangazo yao ukimaliza kuyasikiliza ndipo unaambiwa unayempigia hapatikani. Mimi kama mteja hii inanikera jamani.
Wananiudhi kweli hata mimi.. Yaani unakuta mtu una haraka zako.. unashangaa matangazo kwanza Halafu ndo simu inaitaaaa
TCRA wapo kimyaaaa..
uliwafata ukawaambia? Kama kuna mtu ana njia rahisi ya kuripoti kwa tcra angeieka hapa tatizo likiripotiwa kwao kwa wingi hata wao watashtuka. Huwez jua hii mitandao maybe imejitetea wateja hawana neno na tcra wameona hamna alielalamika.
juzi juzi tigo wamebadilisha keyword ya kujiunga bundle A kwenda bundle B hivyo wote waliojiunga bundle A waliforciwa kilazima kununua bundle wasioitaka