Habari wana JF
Tumaini langu siku imeisha vyema kwa baadhi yetu na kama kwa bahati mbaya siku yako haijaesha vyema basi dumu katika kumuamini Mungu atazidi kukupigani.
Hoja yangu kwa mara nyingine ni juu ya suala la huyu mchina anaetoa voiceover katikati ya maongezi wakati tukifanya mawasiliano kwa kuongea kwa njia ya simu. sauti hiyo ya mchina inakera sana kwa sababu kwanza inapoteza muda wetu wa maongezi kwa kumsikiliza huyo mchina na licha tu ya kupoteza muda wa maongezi ni kuwa mchina huyo sauti yake haina mvuto kabisa wa kibiashara
Naomba tafadhari mumtoe huyo mchina ni kero sana kwa wateja wenu.