Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,102
- 184,848
Kwa iyo Megabytes za internet USA, England, France, German, Canada, Italy na Japan ni rahisi au sauti ni ndogo? SijasikiaMitandao yenu hii ya Tanganyika ya hovyo hovyo sana!
Kimsingi, katika ulimwengu huu wa utandawazi, intaneti inapaswa kuwa nafuu. Tena nafuu sana.
Nchi kama marekani intaneti ni sawa na bure kabisa.
Huko kwenu Tanganyika vigogo wamewekeza hisa kwenye makampuni ya simu wanatengeneza faida asubuhi na jioni huku wanyonge wanaangamia!
Elf 1 GB 1 wk na elf 19 internet bila kikomo mwez mzimaEbu nipe ronja za huko mkuu
Punguza utanipasua ngoma za maskioMkuu niongeze saut kidogo au inatosha mpaka hapo!?? View attachment 1215987
Dah...Bosi ...kuna wengine huwa wanalazimishaKwani umelazimishwa kutumia Tigo....???

Mitandao yenu hii ya Tanganyika ya hovyo hovyo sana!
Kimsingi, katika ulimwengu huu wa utandawazi, intaneti inapaswa kuwa nafuu. Tena nafuu sana.
Nchi kama marekani intaneti ni sawa na bure kabisa.
Huko kwenu Tanganyika vigogo wamewekeza hisa kwenye makampuni ya simu wanatengeneza faida asubuhi na jioni huku wanyonge wanaangamia!
Halotel mkuuHuu ni mtandao gani mkubwa
Hawalazimishi ndo maana ni Upuuzi kuendelea kulalamika Akati line haziuzwi Mil unaweza nunua line ya mtando mwingine kwa matumizi ya Internet then hii uitumie kawaida tuDah...Bosi ...kuna wengine huwa wanalazimisha![]()
Tabu mnoo...!!Ttcl inaniudhi upande wa vocha kuna sehemu nakuwa kikazi mbali huko kuipata vocha yake ni tabu sana
Dunia ya sasa unalalamika vocha zipo mbali upo serious. Vocha za TTCL unazipata kwa kutumia NMB Mobile, Nmb wakala, crdb simbanking, Tigo pesa na TTCL Pesa. Tunatakiwa kuwa wabunifu wa maisha na sio walalamikaji, maisha hayajawai kuwa rahisiTtcl inaniudhi upande wa vocha kuna sehemu nakuwa kikazi mbali huko kuipata vocha yake ni tabu sana
Ungetuliza akili ungemuelewa jamaa anachomaanisha....Kwa iyo Megabytes za internet USA, England, France, German, Canada, Italy na Japan ni rahisi au sauti ni ndogo? Sijasikia
Ugali Maharagwe umeharibu akili za watanzania
Unajua kusoma?Kwani huko hamlipii ni free?