Tigo sasa mmeamua..

Tigo sasa mmeamua..

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,008
Reaction score
28,342
Yaani saa hivi pamoja na mi sms zenu za saizi yako mnatukera nazo kututumia kila mda ndo mmeamua kupunguza muda wa bando yani 2000 gb 2 siku tatu?

Bora mngeweka angalau 1gb siku 7 kwa hiyo buku 2 alafu ile ofa mnayotoa huko huko ya muda wa maongezi muipunguze na ile ya msg za kawaida maana sisi tunajiunga kwa ajili ya bando la internet tuu .

Ni hayo tuu nilikuwa nawaaga bye bye tigo mmeniuzi sana mfyuuuuuuu!!!
 
Yaani saa hivi pamoja na mi sms zenu za saizi yako mnatukera nazo kututumia kila mda ndo mmeamua kupunguza muda wa bando yani 2000 gb 2 siku tatu?
Bora mngeweka angalau 1gb siku 7 kwa hiyo buku 2 alafu ike ofa mnayotoa huko huko ya muda wa maongezi muipunguze na ile ya msg za kawaida maana sisi tunajiunga kwa ajili ya bando la internet tuu .
Ni hayo tuu nikikuwa nawaaga bye bye tigo mmeniuzi sana mfyuuuuuuu!!!
Njoooo halotel uku
 
Mm leo mpaka nimepiga huduma kwa wateja baada ya kusota na bando zao zinazobadilika bila hata kujulishwa mteja wamenipa majibu mepesi tu kwa sasa sijazi hela mpaka wabadilike nahamia kujaza airtel hao ndo wanasomeka
 
Yaani saa hivi pamoja na mi sms zenu za saizi yako mnatukera nazo kututumia kila mda ndo mmeamua kupunguza muda wa bando yani 2000 gb 2 siku tatu?
Bora mngeweka angalau 1gb siku 7 kwa hiyo buku 2 alafu ike ofa mnayotoa huko huko ya muda wa maongezi muipunguze na ile ya msg za kawaida maana sisi tunajiunga kwa ajili ya bando la internet tuu .
Ni hayo tuu nikikuwa nawaaga bye bye tigo mmeniuzi sana mfyuuuuuuu!!!
Ndg nmekuunga 100% kabsa yaan hawa jamaa wanatusa tu
 
Mkuu niongeze saut kidogo au inatosha mpaka hapo!??
FB_IMG_1568476835052.jpeg
 
Mitandao yenu hii ya Tanganyika ya hovyo hovyo sana!

Kimsingi, katika ulimwengu huu wa utandawazi, intaneti inapaswa kuwa nafuu. Tena nafuu sana.

Nchi kama marekani intaneti ni sawa na bure kabisa.

Huko kwenu Tanganyika vigogo wamewekeza hisa kwenye makampuni ya simu wanatengeneza faida asubuhi na jioni huku wanyonge wanaangamia!
 
Back
Top Bottom