Tigo PesA WAMEANZA asubuhi hii! KUA MAKINI..

Tigo PesA WAMEANZA asubuhi hii! KUA MAKINI..

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Wana jf,
tigo pesa network hakuna since morning,usijaribu kutoa pesa,.Itakula kwako
source: mytigo pesa
 
Wangese hadi now hawajanipa reply ya kucomfirm kias nilichotoa, . .Dah sikukuu nakula dagaa hivi hivi mie..
 
Hawa jamaa nishawai kula pesa yao ya bure. Nilimtumia mtu pesa, bahada ya siku tatu wakanirudishia eti muhamala wangu haujakamilishwa, kumuuliza jamaa yeye ashatoa siku nyingi pesa.
Du! siku hiyo nikaona bonge la zali, Kijukuu cha mtume.
 
Dah. . Mkuu kwel ulibahatika ase
 
Hawa jamaa nishawai kula pesa yao ya bure. Nilimtumia mtu pesa, bahada ya siku tatu wakanirudishia eti muhamala wangu haujakamilishwa, kumuuliza jamaa yeye ashatoa siku nyingi pesa.
Du! siku hiyo nikaona bonge la zali, Kijukuu cha mtume.

Duuuh we kweli uliwa'scofield, ndo dawa yao wakijisepetua tu unakula muwa
 
Back
Top Bottom