Ni tatizo la mtandao tu linatokeaga mara kwa mara kwa mitandao yote ile sio tigo tuToka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error.
Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?