Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,771
dah hawa jamaa wameua kabisa dk 15 tgo-tgo, sms 100 plus MB 50 siku nzima kwa only tsh. 450.!!! na hii likizo yangu mpka vidole viote sugu, usisahau kunipm namba yako nikuadd kwenye chat rum...
dah hawa jamaa wameua kabisa dk 15 tgo-tgo, sms 100 plus MB 50 siku nzima kwa only tsh. 450.!!! na hii likizo yangu mpka vidole viote sugu, usisahau kunipm namba yako nikuadd kwenye chat rum...
0717800880, ushindwe mwenyewe kunitext. Hapa kwenyewe natakata na furushi lao.
Kumbe tigoo!, nimeingia nikidhani ni 'tigo' nichangie kwa kirefu. ungenitambua.
kwani 'tigo' na 'tigoo' zina tofaut gan.??
wacha wew.. unanpa namb ya fire.!!
nipe application zao wanatumaje?
yan hata me nimeixperience jana. kha wazoea vya bwerere tumeliwa Junior
me cku airtel wakiondoa huduma ya kifurush cha internet kwa 2500 kwa mwez kwisha hbr yangu. ndo utakvwa mwsh wangu jf make kupata access ya comp ni issue
Mi nilijua yale mambo yetu kumbe tigo mtandao aaaaaaaagh.
0713804478