Hivi hii mitandao ya simu inatuona sisi ni watoto wadogo

Aug 28, 2020
60
125
Pata Dk 220 BURE kupiga mitandao yote SMS 100 na MB 50 za Intaneti kwa Tsh 3000 Muda siku 7. Jiunge Sasa Piga *149*15*3#.Kujua Dk Zako piga *102*01#

Sasa hii Sh 3000 mmenipa nyinyi ata mniambie kua nipate Dk 220 bure wakati hio ni hela yangu ambayo mmeitafuta kwa jasho langu.

Jambo jengine mi nahisi Serikali ingeingilia kati kuhusu bei za ivi vigurushi ,vimekua na gharama kubwa kuliko uhalisia, kwa jinsi dunia ilipo fikia saivi so ya kuwa internet ni kubwa kiasi hiki, hii dunia ya utandawazi internet inatakiwe iwe ni rahisi sana.
 

Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
6,847
2,000
Kama ww n mtumiaji wa Vodacom, kabla hujajiunga na kifurushi chochote bc angalia vifurushi vyote jnc vilivyo.

Unaweza kuingia kwenye kifurushi fulan ukapata 200 MB kwa 1000 halafu ukaenda kwenye kifurushi kingine unapata 1 GB kwa hy hy 1000

Nakumbuka nliwahi kununua 1GB kwa buku kwa siku moja, siku nyingine nkaona 1GB kwa buku kwa siku 3
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,551
2,000
Uzi na picha....

DC8B7B6F-B0BA-4493-B502-0E357E34D2EE.png


Kasinde.
 

euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
2,451
2,000
Hyo ndo mitandao yetu ya simu bana hvi yule jamaa wa kuishtaki Hii mitandao ya simu aliishiaga wapi maana alikuwa na points za kibabe juu ya hawa wezi.
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,551
2,000
Wale wa hesabu za uwiano....
90,000:2,000 hapo uwiano ukoje.

Bado hujaangalia na hela ya kutolea, gharama za kuhamisha hela au makato.
320462E2-A5B6-43D0-A693-4FD10982C41C.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom