Tigo nipeni hela yangu tafadhali

Tigo nipeni hela yangu tafadhali

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
nimetumiwa hela kwa tgo Pesa siku ya tano hii hela iko pending. Pls tgo naombeni hela yangu,
 
Mkuu kwani Tigo wana account humu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nimetumiwa hela kwa tgo Pesa siku ya tano hii hela iko pending. Pls tgo naombeni hela yangu,

Piga simu huduma kwa wateja utasaidiwa tatizo lako.. Au nenda kapost facebook kwenye page yao.. Ukiweza nenda kabisa kwenye vituo vya huduma kwa wateja
 
Asa Umejiskia Tuu Kuanzisha Thread Tuu au???
 
Back
Top Bottom