Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 507
Kwa zaidi ya saa moja sasa huduma yoyote ya TiGo Arusha hamna najaribu kuwasiliana na watu hawapatikani na simu zao ziko on. Kwenye skype wanasema network hamna. Hadi sasa haiajarudi wanadai. Au hawajalipa bills za Tanesco??? Huu si muda mzuri wa kupoteza mawasiliano kwa kuwa ni wakati wa Chistmas wishes from majuu to bongoland unajua tena.
Kunani TiGo Arusha au nchi nzima???
Kunani TiGo Arusha au nchi nzima???