TiGo network imepotea

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
507
Kwa zaidi ya saa moja sasa huduma yoyote ya TiGo Arusha hamna najaribu kuwasiliana na watu hawapatikani na simu zao ziko on. Kwenye skype wanasema network hamna. Hadi sasa haiajarudi wanadai. Au hawajalipa bills za Tanesco??? Huu si muda mzuri wa kupoteza mawasiliano kwa kuwa ni wakati wa Chistmas wishes from majuu to bongoland unajua tena.

Kunani TiGo Arusha au nchi nzima???
 
aise ni kweli mimi pia nimejua labda simu yangu imeharibika! nikatoa line na kuweka simu nyingine mambo yale yale na wenyewe wanasema SMILE YOUR WITH TIGO!
 
Bila hata taarifa kwa wateja huko nyumbani Tanzania mnaendeshaje biashara??
 
hahaaa media gateway iliyoko kwa ngulelo ilipiga chini ..genset ikashindwa kuwaka automatic lakini vijana wamesha rescue situation ...kitu kiko hewani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom