TIGO nao wafunguka,

TIGO nao wafunguka,

spidi ya intanet hutakaa urudie tena kununua hiyo airtel yatosha

Yap, spidi ya mtandai ni ya konokono, ila imeboreka kiasi kwa sasa. Sidhani kama ni tatizo la hizi 'bundle'......kwa mujibu wa airtel spidi ya mtandao ilipungua kwa sababu ya uharibifu wa 'opticak fibre cable'.....
Kimsingi, hata wasingeweka hizo mb za mtandao, basi gharama za simu zinakua nafuu sana......dakika 175 za kupiga simu ni poa sana.....hii yamaanisha waweza kutumia chini ya Tzs 15,000 kufanya mawasiliano kwa simu.
 
Airtel yatosha ni bomba sana....
Kwa buku 3 unapata dk 175, 500mb na meseji 1500 kwa juma moja.

Mkuu na mimi nimeliona hilo. Nimeanza kutumia line yangu ya Airtel kwa kupiga simu baada ya muda mrefu. Sana nilikuwa natumia kwa data pekee.

Nitaanza kupunguza matumizi ya line yangu ya Tigo nihamishie Airtel. Nimegudua nitaokoa pesa zangu nyingi kwani napata data pamoja na kulongo kwa wiki nzima kwa 3,000.

Hii ni kweli YATOSHA!!! huhitaji zaidi ya hii!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom