TIGO nao wafunguka,

TIGO nao wafunguka,

Smartbrain

Senior Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
184
Reaction score
35
Sasa zile dakika 15 za extreme unaweza kupiga mtandoa wowote ,
 
Kwa sababu za kibiashara, Tigo inabidi wabadili jina. Niliwah kushudia jamaa anaingia kibanda cha simu akauliza 'we dada unauza tigo'?... Akaishia kusonywa na vocha hakuuziwa..
 
Kwa sababu za kibiashara, Tigo inabidi wabadili jina. Niliwah kushudia jamaa anaingia kibanda cha simu akauliza 'we dada unauza tigo'?... Akaishia kusonywa na vocha hakuuziwa..

na pia zile dakika 300 za kabaang unapiga china, amerika, hong kong na india. mi ninazitumia kupiga nje zaidi lakini kimaliza dakika 300 ni kazi!
 
na pia zile dakika 300 za kabaang unapiga china, amerika, hong kong na india. mi ninazitumia kupiga nje zaidi lakini kimaliza dakika 300 ni kazi!
Mbona wasifanye na nchi zingine walau na sisi tulio sehem tofauti na hizo tukafaidika?
 
tigo wana promotion nzuri sana ila wanahuduma mbovu sana, mitandao mingine ina struggle sana kucompete na tigo
 
ni dakika 5 kwa mitandao yote na 10 tigo-tigo...
 
Vodacom hii wameiname cheka nao eehh? Kwa tsh 500 wanakupa 20min kwenda mtandao wowote tz, including voda to voda.
Wanazidi kushuka bei tu, soon tutaona tsh.500 unaongea week nzima..
 
Big up to january makamba juhudi zako tunaona matunda yake sasa
 
Airtel yatosha ni bomba sana....
Kwa buku 3 unapata dk 175, 500mb na meseji 1500 kwa juma moja.
 
Nimejiunga xtreme bt cha ajabu ni tigo to tigo only.. Wameshaiondoa tayari.. Advertisements huwa zina mislead
 
spidi ya intanet hutakaa urudie tena kununua hiyo airtel yatosha

Uko wapi wewe mbona mimi natumia na speed ni nzuri tu mchana mpaka 1.7mbps

Sent from my SGH-T959 using Tapatalk 2
 
Vodacom hii wameiname cheka nao eehh? Kwa tsh 500 wanakupa 20min kwenda mtandao wowote tz, including voda to voda.
Wanazidi kushuka bei tu, soon tutaona tsh.500 unaongea week nzima..

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Shaba pub Mbeya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom