Tigo nao mambo yaleyale

Tigo nao mambo yaleyale

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
5,964
Reaction score
4,250
Baada ya VODA na airtel sasa Tigo. mambo ya mb 1
Mpendwa mteja,Kuanzia KESHO Mini Kabang Sh 499 kitatoa DK 6,SMS 40& MB 1, Xtrme Sh 499 itatoa DK 14,SMS4O & MB 1 vitatumika hadi SAA 6USK.Samahani kwa usumbufu
 
kwa mujibu wa TCRA waliyapa makampuni maagizo ya kutenganisha vifurisho. hivyo Mb 1 ni mpango wa kulazimisha wateja wawe na bajeti ya kununulia salio la kupiga simu tu na wawe na bajeti ya kununulia salio la kuperuzi.
 
Je kuna vifurushi mahsusi kwa ajili ya internet pekee?
 
Je kuna vifurushi mahsusi kwa ajili ya internet pekee?

ukitaka kujiunga na vifurushi vya internet peke

1. airtel piga *148*88# kisha fuata maelekezo.

2. vodacom *149*01# fuata maelekezo

3. tigo *148*00# fuata maelekezo
 
Back
Top Bottom