Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Na pesa zangu zilizopo Tigo niziache Mkuu?Tumia airtel money mkuu
Ndugu mteja, huduma za TigoPesa hazipatikani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi,wataalamu wetu wanashughulikia tatizo hili. Tunaomba radhi kwa usumbufu.Tigopesa haifanyi kazi karibu kutwa nzima ya leo. Mnajua usumbufu na maumivu tuliupata wateja wenu?
Mnajua Serikali imekosa kiasi gani cha kodi kwa kutwa nzima? Nyinyi binafsi mmepoteza kiasi gani? Kwanini angalau hamkuomba hata radhi?
Kuweni serious hata kidogo.
Tigo yako pia imepata msukosuko leo dear?[emoji30][emoji30][emoji30]Si bora serikali ikose kodi kuliko kukosa hela ya bae kwenye tigo pesa
Mimi wamenitumia massage ya kuomba radhi kwa usumbufu tulioupata leo Wateja wao wa tigo pesaTigopesa haifanyi kazi karibu kutwa nzima ya leo. Mnajua usumbufu na maumivu tuliyopata wateja wenu?
Mnajua Serikali imekosa kiasi gani cha kodi kwa kutwa nzima? Nyinyi binafsi mmepoteza kiasi gani? Kwanini angalau hamkuomba hata radhi?
Kuweni serious hata kidogo.
Mimi wamenikwamisha mambo yangu leo.Wamenikera sana hawa mapimbi
Muda gani? Nami nausubiriMimi wamenitumia massage ya kuomba radhi kwa usumbufu tulioupata leo Wateja wao wa tigo pesa
He he he heeee... Tigo yake???Tigo yako pia imepata msukosuko leo dear?[emoji30][emoji30][emoji30]
Duh balaa sana kama hapo Dar ni ngumu vipi huku Nanyumbu ama pale nakapanya?Tigopesa haifanyi kazi karibu kutwa nzima ya leo. Mnajua usumbufu na maumivu tuliyopata wateja wenu?
Mnajua Serikali imekosa kiasi gani cha kodi kwa kutwa nzima? Nyinyi binafsi mmepoteza kiasi gani? Kwanini angalau hamkuomba hata radhi?
Kuweni serious hata kidogo.