Wasamehe bule mkuu,kwa wasiofahamu,ni kuwa baada ya makampuni ya TIGO na VODACOM,kuuza(kubinafsisha vitengo vya power) minara yao kwa kampuni ya HELLIOS TOWERS,utendaji na ubora wa huduma umepungua sana,
HELLIOS TOWERS,inasimamia vitengo vyote vinavyohusu nishati ya umeme kwenye minara ya TIGO na VODA,kama mafuta(diesel),vipuri,majenereta,usalama wa mitambo,
Sasa tatizo kubwa sasa hv ni upatikanaji wa diesel,kutokana na umeme wa Tanesco kuwa na matatizo,herrios anaomba mafuta kutoka VODA na TIGO,harafu yeye anayagawa kwa makampuni mengine yanayo simamia minara,kwaiyo mafuta yakitoka kidogo,yeye mwenyewe HELLIOS,ili apate faida ya kuendesha shughuri zake,atanunua mafuta kidogo,kwaiyo hata minara itapata mafuta kidogo,na kama umeme wa GRID,haupo,mitambo itazima,na ndio maana network inapotea,
kwa ufupi ni usimamizi mbovu wa huyu dalali HELLIOS TOWERS,NI bora kipindi kile,makampuni yalikuwa yana deal na TIGO au VODA mojakwa moja,AIRTEL alishitukia usanii huu,akagoma kuuza minara yake,
Mbeya,mbozi mpaka Tunduma,leo hakuna mtandao wa tigo,kuanzia saa 12jioni,kwa sababu mnara mkubwa wa TIGO tunduma,umezima,mafuta yameisha,