bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,374
- 3,972
Mi nikajua ni mm tu,niko arusha mambo ni hayohayo.
nina mbadala hapa ndio maana tatizo ni upande wa pili ndio mwenye namba ya tigo tuuUnafanya nini huko? Hama haraka
Ndio Tigo hao....
Nilipo ukitamka tigo wanakushangaa hawajui ni kitu gani.
Tigo ndio mtandao wa ovyo zaidi kwa sasa hapa Tanzania! Tigo wananitesa mno hadi nimeanza kua ba presha . Ni tatizo na wala wenyewe hawajali.
Maombi yao kwa wateja hayajakidhi matakwa
Ahahahaaaa tigo wamechemkaaaaaa
nina mbadala hapa ndio maana tatizo ni upande wa pili ndio mwenye namba ya tigo tuu
Wanaiga Tanesco!