Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 256
- 276
Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
Mungu awalinde
Unahamia wapi bwana Verified member?Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
Mm mbona iko fastaHalotel kero n mwendo wa kobe sanaaa but kwengine n waàaa
Siwezi lipa hiviView attachment 1700181
Jero unapewa Mb 50 tigo ni mbwa
Hao nao mbona ng'ombe tuKaribu vodaa
HahahahahaVoda ndo mijibwa kabisa. Sh 1,000 = mb 150. Si ujambazi huu mchana kweupee
Mie na wafanyakazi wenzangu wapatao sita tumekata shauri na kuvunja laini zetu za tigo tangu week iliyopita.!Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde