displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Juzi wakanipigia simu nikawaambia nimehamia voda nilikuwa mteja wao mzuri saana hasa wa airtime na internet.Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
Tigo sina hamu nao. Hasa walipoondoa meseji kwenye kifurushi cha halichachi. Niliwapa mkono wa kwa heriKampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
Huu ni waizi mtakatifuSiwezi lipa hiviView attachment 1700181
Weka ushahidi hatua stahiki zichukuliwe.Serikali inataka hela kinguvu, na wao ndio wameaagiza hizo hela zikusanywe kibabe.
Weka ushahidi hatua stahiki zichukuliwe.
Loh. Salaleeee [emoji134]Siwezi lipa hiviView attachment 1700181
Nenda ZantelNahisi laini zinatofautiana hii mm sina.ipo ya 5000 2gb kwa wiki. Sijui kwakuwa lain yangu ya zamani.una bahati au menu yako iko tofauti na ya wengine?
Kwa wiki nikijibana natumia 8000 yaan nanunua voda dk 250 all net kwa 3000 nanunua 2gb tigo kwa 5000 kwa ajili ya net tu. Na hii 2gb haifiki wiki dah
Sasa nawaza nikisajili lain nyingine ntaweza beba simu mbili?
Hama hama itakuwaje na kazini maana wateja washazoea hizo no.dah
Nimeachana nao wako wanajishtukia. Siku hizi wananipigia mahuduma yao ya bima sitaki kuyasikia nina NHIF inatosha.Huu ni waizi mtakatifu
halotel ni Hawa hapa,naona wapo vizuri,kwaupande wangu,hivyo vifurushi ni vya wiki.Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
Mkuu, vifurushi vya tiGO na voda vyote sawa, huku Voda kwa elf 10 unapata 2.5GB kwa mwezi na tiGO ni hivyo hivyoUsitukane mamba bro, sisi wa vodacom tunatamani kuhamia huko unakotoka!
Bei za halotel zikoje kwa kifurushi Cha social kwa mwezi.Mm mbona iko fasta
Mkuu kama simu yako ina 4G. nenda kabadili laini iwe ya 4G utakuja kunishkuru. mkuu saiv nachana mawimbi na holotel kama voda tu tena na cheza na online game bila tatizo.Mkuu, vifurushi vya tiGO na voda vyote sawa, huku Voda kwa elf 10 unapata 2.5GB kwa mwezi na tiGO ni hivyo hivyo
Laini za mitandao yote hiyo ninazo, kinachonifanya nishindwe kutoka Voda ni spidi ya internet tu
Halotel wananipa 10GB kwa elf 10 kwa mwezi, ila spidi sasa hamna kitu
Hii mkuuBei za halotel zikoje kwa kifurushi Cha social kwa mwezi.
Mimi shida yangu fb, jf na WhatsApp.
Twitter sinahaja
Laini niliyonayo ni ya 4G na simu pia ni ya 4G, kutembea na simu mbili ndo sipendi,Mkuu kama simu yako ina 4G. nenda kabadili laini iwe ya 4G utakuja kunishkuru. mkuu saiv nachana mawimbi na holotel kama voda tu tena na cheza na online game bila tatizo.
Thanks bro and may God grant you your wish.