Tigo: Kiukweli tumewachoka!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo: Kiukweli tumewachoka!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bampami, Dec 7, 2011.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  Ndg wana Jf na Watanzania wote!
  Nimeamua kuandika ujumbe huu uwafikie Mtandao wa tiGO. Katika mitandao ambayo inaiba waziwazi basi TiGO ni no 1. Hivi karibuni kumekuwa na huduma feki za kutuibia wateja wao hivihivi:
  1.Utakuta umejiunga na xtreme ya msg 100 hata unakuta umetuma msg 40 wanaanza kukata salio,
  2.Ukimpigia mtu kama hapatikani wanakupa matangazo kama wimbo wa maro" then wakati unaimba wao wanakata hela.
  3.Ukiweka vocha usiku hata hujajiunga na huduma yeyote unashangaa asubuh balance imepungua.
  4.Leo hii wamewaliza watu vibaya yani unampigia m2 wa hapohapo afu unakuta hapatikani na hela wamekula.
  Ni leo nikiwa hapa Udsm kila mahali ukipita wateja wanalalamìka.
  TUP/NIMECHOKA KWELI. Wapi airtel na voda?
  Warning: Msipoangalia malalamiko haya toka kwa watz mjiandae kupoteza customer wote.
  NAWASILISHA.
   
 2. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Unamaanisha TIGO ipi mkuu?
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Nawe kuwa serious na issues za maana. Mtu amepost kitu cha msingi wewe unakimbilia kwenye upuuzi au unafa..............
  This isan important posting!!! Tigo ni wezi wakubwa TCRA should take action!!
   
 4. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  tcra uozo m2pu,kazi kujaza vyoo wakiwa ofcni kwani walishalalamikiwa kitambo
  lakini wapo kimya kama mazezeta flani,cha msingi ni sisi wenyewe kuchukua hatua. huwezi panda
  gari bovu kwa makusudi na hiyari halafu unasubiri SUMATRA waje kukusaidia wkt unayaona magari mazuri.
  hii haihitaji elimu ya ngazi yoyote...hata ng'ombe anaweza tambua majani mazuri na mabaya.sembuse wewe?
   
 5. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Du tgo noma,mimi jana nimetoa hela kwa tgo pesa,nikapewa msg kua transaction imefanikiwa,mbaya agent hakupata msg na had leo nimeamua kusubiri.Nilipowapgia wakakata hela na sim yangu hawakopokea!Nataka kwenda kwenye Tgo shop,ntawajulisha haya yote khs mtanado wao na namna kero zilivyo nying hapa JF.
   
 6. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mkuu sijakusoma..kwani si nimeuliza Tigo ipi au?maana TIGO ina huduma nyingi bwana!!!
   
 7. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bado wakuu mnaishi tigo sisi wenzenu tulisha hama kitambo.Ni nawachukia mpaka nikisikia tangazo lao nyumbani nazima redio kwa muda mpaka liishe.
  :poa:photo:
   
 8. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  njia rahisi ya kuwafikishia ujumbe, ni wewe kuchomoa kwenye simu yzko line ya tigo na kupachika ya zantel
   
 9. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hamia airtel
   
Loading...