Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
Hii ni wiki takriba ya 3 na jaribu kutuma SMS kwenda nje ya nchi South Africa/USA bila mafanikio,niki tuma SMS kwenda South ina kwenda na nakatwa pesa kwenye simu ila haifiki kwa muusika aliyetumiwa,kwa upande wa USA ina goma kabisa kwenda na inanionyesha alama ya X badala ya tick...Nimejaribu kupiga namba 100 ya Customer services bila mafanikio yoyote jibu ninalo lipata ni kwamba ni "Akikisha namba unayo piga na upige tena" Swali: hawa jamaa wamebadilisha namba ya huduma kwa wateja au ndio wametuchoka wateja wao? Najuta kujiunga na huu mtandao!
Wadau wa JF je kuna mtu yoyote amekumbana na tatizo kama la kwangu?

Mkuu tatizo liko kwa hizi nchi mbili nilizo zitaja hapo juu, nikituma UK zina kwenda bila tatizo lolote. Tigo walikuwa na huduma nzuri sana ila kwa sasa wana boa sana,ni bora kuhamia Zantel angalau hawa wako makini kwenye huduma zao za mtandao.Pole mkuu kwa maswahibu ya express yourself!!
Mi natumia tigo lakini sijawahi kukumbana na matatizo kama yako, huwa natuma sms kwenda India, Russia na China bila shida yoyote.
hilo la customer care kwa kweli ni tatizo la siku nyingi sio leo wala jana, mie nilishaacha kupiga customer care miaka mingi sana baada ya kuona ni usanii mtupu.
kwa South Africa kwangu una kwenda haumfikii mlengwa ,labda inategemea unayemtumia anatumia mtandao gani ila nimesikia watu kama wa wili hivi nao wakizungumzia tatizo kama la kwangu.Imenitokea pia, japo ni mwezi uliopita. SMS kwenda USA hazikwenda hata baada ya kujaribu tena siku mbili baadae. Kwa hiyo inaonesha tatizo bado lipo.
Tofauti kidogo kwangu - ujumbe niliotuma S. Africa ulifika.
Hii ni wiki takriba ya 3 na jaribu kutuma SMS kwenda nje ya nchi South Africa/USA bila mafanikio,niki tuma SMS kwenda South ina kwenda na nakatwa pesa kwenye simu ila haifiki kwa muusika aliyetumiwa,kwa upande wa USA ina goma kabisa kwenda na inanionyesha alama ya X badala ya tick...Nimejaribu kupiga namba 100 ya Customer services bila mafanikio yoyote jibu ninalo lipata ni kwamba ni "Akikisha namba unayo piga na upige tena" Swali: hawa jamaa wamebadilisha namba ya huduma kwa wateja au ndio wametuchoka wateja wao? Najuta kujiunga na huu mtandao!
Wadau wa JF je kuna mtu yoyote amekumbana na tatizo kama la kwangu?
Kwa karibu mwezi mzima sasa tigo ni taabu tupu. Mimi ni mtumiaji wa tigo tanu 1998 lakini nimekumbana na matatizo mengi kwa siku za karibuni ambayo hawayafanyii utatuzi wala kutuhabarisha wateja tuvumile kwa kipindi gani. Dawa naamia Zantel
Voda hawafahi kabisa hawa.jaribu voda....
Zantel ndio wenyewe mkuu kwa huduma ya internet wanaongoza tofauti na mitandao mingine .Hiyo ndio suluhu zantel ni nafuu kuliko tigo especially ukitumia internet kwenye simu.
Wako makini sana na huduma wanazozitoa na customer care wanapatikana lakini itabidi uwe mvumilivu kidogo!!
mwenzeni sijawi kubahatika kuunganishwa huduma kwa wateja....natumia postpaid kuna namba walinipa y ahuduma kwa watje nikipiga napata responce kama hiyo mkuu....cheap is indeed expensive!!!!!!!
Welcome to the club "buddy", i said this last year september nikashukiwa kama mwewe...mwenzeni sijawi kubahatika kuunganishwa huduma kwa wateja....natumia postpaid kuna namba walinipa y ahuduma kwa watje nikipiga napata responce kama hiyo mkuu....cheap is indeed expensive!!!!!!!
Siyo Customer Service tu yaani hawa jamaa huduma zao zote kwa sasa ni mbovu kabisa.tIGO customer service kwishnehi!