Tigo customer care!

Tigo customer care!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wadau hv tigo customer care ni namba zipi kwasab 100 inagoma?
 
wangese hawapokeagi na wakipokea ni afta 10mins ful mambo yaki cameroon
 
Check 0713800902 esp used for blackberry internet au 15301
 
Washenzi sana jana kutwa nzima nimekuwa nikijaribu namba zao zote ambazo mmesema humu lakini hakuna hata moja ambayo unaweza kuongea na huduma kwa wateja
 
ninauzoefu na tigo imefikia hatua nimekuwa frielence wa kujitegemea , namaba zote mnazosema kwa kweli hazitopokelewa kwa kusuluhisha tatizo lako haraka ni kufika ofisi zohio kwa walio dar. kama upo mbali ingia tigo tanzania facebook taja tatizo lako watakusaidia. kunafomu ya tatizo ukiona una haraka sana andika tatizo lako kwenye wall. ukichemka nitumie tatizo lako kwenye sms 0719332343 nitangalia jinsi ya kukusaidia
 
Loosers wakubwa tigo.
Siwashangai wanaofananisha mtandao na ile kitu.
OTIS
 
Back
Top Bottom