Tiger Woods Aachana na Mkewe Rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiger Woods Aachana na Mkewe Rasmi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Aug 24, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tiger Woods na Mke Wake Wameachana


  [​IMG]Tiger Woods na mke wake mzungu Elin Nordegren wameachana. Habari zimetangazwa rasmi leo. Ndoa ya Tiger ilianza kuvunjika mara mke wake alivyogundua anatembea na mzungu mwingine. Haikuishia hapo....iligundulika kuwa Tiger katembea na majike wa kizungu zaidi ya 14 wakati wa ndoa yao. Wote wazungu wenye nywele blonde. Hata siku moja hajaonekana na kuku mweusi.

  Haya Elin anarudi kwao Sweden na donge nono. Tiger ni billionaire na walizaa watoto wawili moja ana miaka mitatu mwingine wa kiume ana mwaka moja tu.
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Oh please, I demand apology kwa dada zetu...unawaita dada zetu kuku weusi?:confused2:
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Boflo kumbe sisi ni kuku weusi? :confused2:
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hleo ameamua kuweka bayana!
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hpa sijaelewa alimaanisha kuku mweusi as in mnyama au ni vingine :confused2:
   
Loading...