Tido Mhando ni kada wa CCM?

punguzeni ushabiki usio na maana, yaani mnataka kila mtu afanye kama mnavyotaka nyinyi........!!!!
 
Kama Tido angekuwa CCM asingembana Dr. Tulia namna ile.
Tido ni mmoja wa watu waliobobea kwenye kufanya interview. Huwa anajiandaa vilivyo. He is simply the best in East Africa. Enzi zake akiwa BBC pale Nairobi alimtoa kamasi Moi. Ikabidi aondoke haraka kuhofia usalama wake.
 
so umemjaj kwa kipindi kimoja?


tido ni adui no. 1 wa ccm

ww ulitaka kusikikia utakayo
Hapana, siyo nitakayo. Maswali yalikuwa so inclined kuwa weledi wake umepungua. Huwezi kuhoji kwa kusema JPM amepiga hatu nzuri, hapana, weka swali neutral umchokonoe mtu.
 
No please, nadhani ile unceremonial exit from TBC ilimshitua ukiweka na kipindi hiki cha amri, amegeuza namna ya kutenda kazi zake! Ningelifurahi kama angelimhoji JPM
 
Naona imekuuma Mzee Lowasa kukili wazi Rais Magufuli anafanya kazi zake vizuri.

Kaa ukijua Lowasa siyo mnafiki kama nyie washika UKUTA wa Mbowe
Amesema maeneo fulani kidogo, and this is true! Hakusema absolutely kuwa he is doing good in all fields! Kuna mess up nyingi tu!
 
Una matatizo wewe, basi aende akahojiwe ITV
 
Being senior is not and does not prove or guarantee perfection! Anaowatumbua JPM ni senior! Unasemaje
Seniority and experience means excellence, lakini inategemea unaongelea nchi gani au bara gani. TZ watu wanauzoefu wa kuharibu. Madhalani, watangazaji wa TBC hivi wakidumu hata miaka 50 unaweza ukawaajiri kwenye TV au radio station yako wakaongeza effectiveness au efficacy?
 
Ulihesabu kura?
 
tido yuko very balanced,nimefuatilia mahojiano yake na lowassa yote leo na nimeona hilo.
Hakuna mwandishi wa habari atakayekuwa balanced hivi sasa, wote wanahisi mkuu wa kaya atawateua.
 
Jana mlitamba kuwa leo Lowassa ataunguruma. Sasa mbona mnalalamika eti Tido Mhando ni kada wa CCM? Hamueleweki.
 
Hawa tatizo hawapendi kukosolewa unakumbuka ata Salim kikeke alivomhoji jamaa akabwabwaja walisema et n CCM au katumwa?
Salimu alikuwa haoji ila alikuwa anashinikiza majibu!! Tido Leo alikuwa vizur sana maswali Makali na majibu mafupi kiukweli nimempenda sana Lowassa ni MTU anayeona mbele sana!!!
 
Ukawa bhaana,yaani kila MTU akiwabana na maswali bas ni ccm, wakaenda mpaka Kikeke ni ccm,,ila maswali wanayoulizwa viongozi wao hawataki kujiuliza wao.....mwisho wanaenda kuhitimisha ulimwengu mzima ni ccm
 
Ulihesabu kura?

Mimi sikuhesabu kura ila mawakala wa UKAWA walihesabu na kutia saini zao kila kituo na kata na jimbo. Ndio maana wote wanaosema "eti tuliibiwa kura" hakuna hata mmoja anayethubutu kutamka kuwa kura zilizotiwa saini na mawakili ni tofauti na zile zilizotangazwa na Lubuva. Wanajua wakitamka hivyo watatakiwa kuthibitisha au wakishindwa washitakiwe kwa kusema uongo ambao inaweza kuwa jinai. Badala yake wanasema tumeibiwa kura very general bahati mbaya baadhi yetu tuliojiondoa ufahamu tumawaamini bila kujiuliza kwanza kuwa wangetoa ushahidi wa angalau kata au kituo kimoja kwenye tofauti baina ya kura zilizotangazwa na Tume na zile zilizosainiwa na mawakala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…