Tido Mhando asema Serikali imelipa milioni 887.1 kwa watu wasiojulikana na tuhuma hizo zimemuumiza sana

Hoja yangu ni ya msingi. Kwa nini kuchafuana? Tumejifunza sheria " Mahakama ndo ina uwezo wa kuhukumu mhalifu, vinginevyo ni kupakana matope"". Kuna mahala akili zetu sisi Waafrika ziliacha gape wakati wa kuumbwa tofauti na mabara mengine. "Kitu ustaarabu" hatuna hasa linapokuja suala la "siasa". From no evidence, unaita mtu mwizi, fisadi ili adharaulike,wewe upate kura!!!!! This is a big nonsense!.
Kuna mtu mmoja huwa simwelewi, anazunguka kuita wengine mafisadi, huku yeye kajilundikia mali ambazo ameshindwa kueleza kazipataje. Na watu, wanaona. Its very funny!!

Hoja yangu ni tofauti.

Lowasa angehama CCM na kuanzisha chama chake kisha akangoja uchaguzi labda wa 2020 na nna uhakika angeshindwa na Dr Slaa ambae angebakia kuwa mgombe wa UKAWA.

Au Lowasa angeingia UKAWA na akawa mjumbe wa halmashauri kuu na ugombea uraisi akaachiwa Dr Slaa.

UKAWA ya Dr Slaa ingeshinda uchaguzi wa 2015 kwa mbinde sana..

Hapo ingeeleweka kwamba siasa za upinzani Tanzania zipo imara.

CCM wanaona mbali ndo maana wakamchukua Dr Slaa na huenda ndiye raisi ajae, huwezi jua.

Again, huo ni mtizamo wangu.
 
Mimi siku alipotangaza kuondoka/Kustaafu BBC London roho iliniuma saana mtu makini kama yule kuondoka la haula la kwata nikaja kumsikia kateuliwa TVT nikasema ataweza kweli? Baadae nikasikia inaitwa TBC nikajua tayari mzee kaingia cha kike
Hakika uliondoka London kuja Tanzania kujiharibia,lakini mzee wangu Tido usife moyo utashinda hiyo kesi lakini utakuwa umejifunza mengi ambayo yatakusaidia wewe na hata kwa wanao.....Mungu ni mwema!!
 
Alipokuja TvT alikuwa na umri gani? Nadhani alishakuwa above 60. Sasa nini kilimsukuma kuja kuajiriwa? Kuhama RTD kuajiriwa BBc sawa kabisa but not vice versa. Pole sana mzee. Mungu akupe hekima.
 
Katika majukum ambayo nayaonaga ni magumu sana ni kuwa hakimu. Kwa nini nasema hivyo. Other factors remained constant kama rushwa na upendeleo wa kidungu au kauli kutoka juu. Hakim anakuwa hayupo eneo la tukio yeye anachofanya ni kusikiliza nani anatoa maelezo ambayo yeye binafsi anaona ndo kweli hata kama ni uongo mradi tu unaweza kujieleza na kucheza na vifungu vya sheria. Kiukweli ili kutoa hukum sahihi wanapaswa kumshirikisha roho mtakatifu kwa kulingan na imani yake
....kama shahidi au hakimu !?
 
Alipokuja TvT alikuwa na umri gani? Nadhani alishakuwa above 60. Sasa nini kilimsukuma kuja kuajiriwa? Kuhama RTD kuajiriwa BBc sawa kabisa but not vice versa. Pole sana mzee. Mungu akupe hekima.

Mzee Tido alikuwa anajipanga kuishi Maisha ya kustaafu, ndipo JK akamwomba arudi kuiboresha TBC.

Ilikuwa ni kazi ya mkataba.

Lakini mzee Tido alisahahu kwamba TBC ya wakti ule baada ya uhuru si hii ya leo miaka 50 imepita.
 
Awamu ya nne kila kiongozi wa taasisi ya serikali alikuwa mpigaji. TAKUKURU wakiamua kuchunguza hakuna atakayebaki salama.
 
Inategemea utetezi huo nimeusimamia vipi.

Ila natetea sana kwenye hoja ambazo hazijengi.

Mimi zamani nilikuwa upinzani ufahamu?

Nilibadili msimamo pale Lowasa alipokaribishwa UKAWA na CCM ilipompata John Magufuli.

Ila nielewe, mimi si mpinzani na wala si mwana CCM, bali ni raia wa kawaida mpenda maendeleo kwa nchi yangu.
Sawa bwana ila kwa majibu yako nimejua wewe ni mtu muungwana.
 
dadeki...wamemtoa mwenzao kafara
Hii kesi ingetengeneza kesi juu ya kesi kwa mafisadi wanaotajwa kwenye utetezi.

Ninachotabiri mimi ni kuwa, huyu mzee anaweza kushinda kesi na kuachiwa huru, wakati huo watu halisi waliosababisha huo uozo, kuendelea kula pamoja na nyadhifa zao kutoguswa.
 
Una weza MPA MTU cheo cha marehem kumbe hajafa... Mwenye kusema kafa ni daktari... Wao police wana lifahamu hiloo... Kama daktari haja thibitisha ufu wa MTU basi kisheria wewe huruhusiwi...

Mara nyingi huwa wana wapelekea madaktari wakafanye kwanza taratibu zao na wao wana fata baadae
Ina maana wote waliokufa maji na kuzikwa, vifo vyao vimethibitishwa na daktari kabla ya maziko?
 
Back
Top Bottom