IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,819
Very well saidHii kitu unayoelezea ndo imeua mashirika ya umma, mashamba ya serikali, viwanda nk. Imeua upatikanaji wa viongozi na watumishi bora wa umma! Na itaendelea kutuletea umasikini zaidi na zaidi!!
Mfano, hii sheria ya takwimu inavyofanya kazi.
Ni hivi punde kupitia Clouds Fm, RPC wa Mwanza anadhindwa kujibu swali dogo tuu. Kuwa, ni watu wangapi wameopolewa hadi sasa kwenye ajsli ya Kivuko Mv . Nyerere? Anajibu haju, hadi zoezi liishe!!! Swali, hivi kuhesabu miili 1,2,3.... nayo inahitaji vifaa? Mtu amekuwa punje za mchanga kiasi hawahesabiki? Lengo ni nini? Aidha, nia inaweza kuwa nzuri,lakini wenzetu,hawako hivyo!!