Tido Mhando amaliza mkataba wake Mwananchi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,135
Reaction score
871,416
Ni habari za magazetini asubuhi hii inawezekana kabisa kuna connection na skendo ya kaburi la Balali.

============================



 
Wengine huku magazeti yanafika baada ya siku mbili ungefafanua zaidi,
 
Kaachwa au kaamua kutoongeza mkataba anyway ni nguli katika mashirika makubwa ya kimataifa ya habari mwananchi ilikuwa inampunguzia covarage wamuweke francis nanai jembe
 
Ni habari za magazetini asubuhi hii inawezekana kabisa kuna connection na skendo ya kaburi la Balali

Tido mhando aliekuwa mkurugenz.i wa magazeti ya mwananchi,jana amewaaga wafanyakazi wa gazeti la mwananchi baada ya kumaliza mkataba wake wa miaka 2 na Nusu.
 
Namshangaa sana Tido kwa weledi alionao na alivyo mbobezi ktk fani ya habari anashindwaje kujiari akaanzisha shughuli yake inayohusiana na fani yake ili ajiari mwenyewe?
 
ukiona hvyo kashamaliza kazi yake ya ushushushu aliyotumwa na....... dhidi ya gazeti la wakenya,teh teh teh teh,chezea inteligensia niniiiiii,hahahahaaaaaaa
 
soma mwananchi online wangu, huyo kasikia sasa hivi tu kafungua uzi awe wa kwanza.

We mama mwananchi wanalipost online kuanzia saa saba mchana sio kama daily news wanaopost saa sita usiku siku ikianza.
 
mkataba wake umeisha na nadhan ameamua kutoongeza

Anagombea ubunge jimbo la MUHEZA Tanga. hata juzi tulikua nae kwenye ufunguzi wa kanisa. Anakubalika kuliko maelezo na kwenye serkal ijayo atakua waziri wa habari
 
Hata hivyo miaka yake 2 imeleta mabadiliko makubwa sana.
 
Afadhali maana credibility yake na Gazeti lenyewe imeshuka,Mwananchi kutoka kuwa gazeti mahili kwa umakini hadi kuanza kufuata njia ya propaganda kama Jambo Leo na Uhuru kwa tofauti ndogo tu!!!

Kuaga kwake kwa kuisha mkataba ina maanisha kuwa hamna ufanisi mathubuti katika uongozi wake,kwa kifupi kafeli na inabidi aondoke,bado Neville Meena baada ya Denis Msacky kukimbilia kwa Rostam maana Meena pia ni wa CCM!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…