Ticha Msimamizi wa mtihani

Ticha Msimamizi wa mtihani

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Msimamizi wa mtihani anapocharaza usingizi heavy kama huyu, ni sherehe kwa wanafunzi.

Mtihani mwema kwa Darasa la 7.

14265099_917651688364221_3564320574702721232_n.jpg
 
Swali la kujiuliza
-Je,aliyempiga picha ni mwalimu mwenzake,ama mwanafunzi wa dot.com?
 
Msimamizi wa mtihani anapocharaza usingizi heavy kama huyu, ni sherehe kwa wanafunzi.

Mtihani mwema kwa Darasa la 7.

14265099_917651688364221_3564320574702721232_n.jpg
Hapo ukutani nyama yake kuna mkono unaonekani ni wa nani au wa mchawi!!
 
wanafunzi waaminifu ukiona hivyo hadi anapata muda wa kusinzia ukichaguliwa kusimamia kura ambazo ccm wanashiriki ktk chaguzi uwe macho au umesinzia unaibiwa tu
 
Alikesha kwenye sherehe za mwenge maana naskia wanalazimishwa.
 
Hapo ni shangwe zaid ya club.. Namkumbuka madam mercy msuya, wa mkwakwani sec tanga. Tulimuita bi usingizi.. Akitusimamia ni raha kedekede
 
Back
Top Bottom