Ticha amchinja mwanafunzi

Huku wanalawitiwa,kule wanauwawa, watoto wetu wapi watakuwa salama. Pole kwa wazazi wa mtoto aliyeenda kupata ilimu akatolewa maisha yako.

Wanaopona wanakuwa tayari wameshajua ni survival for the fittest kwa hiyo wanakuwa mi alshababi tangu wadogo.
 
Basi kazi kweli kweli.

Mtu ambae ni insane hata kama ni temporary insanity haruhusiwi kutekeleza obligations za dini.

Sasa iweje leo hii mtu kama huyo anaruhusiwa kuwa karibu ya watoto wetu?
 
kwani unafikiri kwa nini wenye akiri za socrates hatuwapendi hawa watu wenye imani kali za aina hiyo?. nenda marekani wakihisi tu una imani kali wanakufuatilia kila mahali mpaka wakujue vizuri. watakujua kila kitu mpaka harufu ya ushuzi wako, volume ya ushuzi wako, unajamba mara ngapi kwa siku, unakula vyakula gani n.k. ogopa sana watu wenye imani kali za kidini.
 
Ninaomba usalama wa taifa kwa unyenyekevu na uadilifu mkubwa wachunguze kwa kina madrasa zote maana nasikia kuna ukatili mkubwa unaofanyika dhidi ya watoto wa kiume kama kuingiliwa kinyume cha maumbile. Naomba uchunguzi ufanyike kubaini hili.
 
Yes some! !!!!!!

Are you one among those with partial understanding????!!!!!

No, Im a non believer!
Id say the majority has partial understanding, sehemu kubwa ya mafundisho nayoyasikia kwenye media ni violence, and they are all quoted from the scriptures!
 
mh! Huu uongo. Hadi volume ya ushuzi?wanapimaje?
 
cc: Mashaxizo
 
Last edited by a moderator:

Cc: watu8
 
Last edited by a moderator:
No, Im a non believer!
Id say the majority has partial understanding, sehemu kubwa ya mafundisho nayoyasikia kwenye media ni violence, and they are all quoted from the scriptures!

Ok!!!

Hao wachache unaowasikia wakihubiri hiyo violence kwenye media mimi nawaita "some" wewe
umeamua kuwaita "majority" wanaotumia "scripture" may be!!!!!

Sasa sijui Qur'an nayo umeiweka humo kwenye scripture?????!!!!!
 
Isije kuwa wamefcha jina aliyeuawa anaweza kuwa MKRISTO

waandish wa habari fuatilieni hilo kwa karibu

sidhan km angekuwa mwislam wangeshindwa kutaja hata jina moja

magaidi walaaniwe
 
Ninaomba usalama wa taifa kwa unyenyekevu na uadilifu mkubwa wachunguze kwa kina madrasa zote maana nasikia kuna ukatili mkubwa unaofanyika dhidi ya watoto wa kiume kama kuingiliwa kinyume cha maumbile. Naomba uchunguzi ufanyike kubaini hili.

Ungetafuta case moja yenye details ukawapelekea na "kuwataka" wachunguze ungekuwa sehemu ya kuondoa kero ila sasa " unasikia" na "kuomba kwa unyenyekevu na utiifu" !!!!!!

Emotions na investigation havikai pamoja!!!!
 
Isije kuwa wamefcha jina aliyeuawa anaweza kuwa MKRISTO

waandish wa habari fuatilieni hilo kwa karibu

sidhan km angekuwa mwislam wangeshindwa kutaja hata jina moja

magaidi walaaniwe

Kwa mfano kamchinja mtoto aliyeitwa Ally Thabit una maoni gani???!!!!
 
Isije kuwa wamefcha jina aliyeuawa anaweza kuwa MKRISTO

waandish wa habari fuatilieni hilo kwa karibu

sidhan km angekuwa mwislam wangeshindwa kutaja hata jina moja

magaidi walaaniwe

Kwani akiwa mkiristo ndio iwe nini? Kwani wakiristo kwa wakiristo hawauwani au waislam kwa waislam au waislam kwa wakiristo? Huo ni uhalifu kama uhalifu mwengine au unaweza kuufananisha na uhalifu wa Babu wa loliondo au ule wa Tarime.hauna dini wala kabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…