Kukosa usingizi kuna uhusiano na kushuka kwa madini ya magnesium hasa baada ya stress kadhaa. Maganda ya ndizi mbivu yana magnesium ya kutosha kurudisha kiwango cha magnesium mahala pake.
Chukua maganda ya ndizi mbivu 4
Ongeza maji nusu Lita kisha tenga jikoni ukiwa umefunika