Tiba ya maumivu ya kichwa 1895

Tiba ya maumivu ya kichwa 1895

Bana Balume

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
999
Reaction score
2,730
Hiyo enzi hizo kabla ya kuwepo kwa hizi Panadols
images.jpg


Sent using vidole vyangu!!
 
Inafanyaje kazi sasa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hilo li birika likishonwa huo mnyundo mlio wake zaidi ya kengele ya kanisani! Maumivu hayataki kelele yanakimbia yenyewe!.
 
Masikio yamewekwa pamba..umesaau msemo wa umeweka pamba masikioni

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelezwa kuwa ili hiyo tiba inafanya kazi kutokana na makelele ya hilo sufuria likisha gongwa na nyundo, sasa kama madikio yana pamba ina maana hatosikia vizuri makelele ya hilo sufuria hivyo maumivu haytaondoka. Au mimi ndo kilaza hapa..😀😀😀
 
Back
Top Bottom