Tiba ya loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba ya loliondo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by anania, Mar 29, 2011.

 1. anania

  anania Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  KWA UPANDE WANGU TIBA YA LOLIONDO SI TIBA YA IMANI BALI NI TIBA YA ASILI.NASEMA HIVYO SI KWA SABABU YA USHABIKI WA UPANDE WOWOTE ILA NI KWA SABABU YA HISTORIA YA YA MTI HUO YA KUTUMIKA KUTIBU MAGONJWA TAJWA TOKA KIPINDI CHA MABABU ZETU.KATIKA KILA SEHEMU YA TANZANIA KUNA BAADHI YA WAZEE AMBAO HUWA WANATOA TIBA ZA ASILI KATIKA KIJIJI AU MJI FULANI.NA KUNA NJIA MAALUM ZA KURITHISHA UWEZO HUU WA KUTOA DAWA.KWANI ANAYEPEWA MIKOBA YA KUANZA KUTOA DAWA NI YULE ALIYEKUWA MSAIDIZI WA MZEE HUSIKA NA PANAKUWA PANA USIRI FULANI WA KUTOA DAWA ILI KUTO KUHARIBU BIASHARA YAO YA DAWA.HUU MTI KITAALAM UNAITWA carissa edulis ULIANZA KUTAFITIWA NCHI YA SOUTH AFRICA TOKA MWAKA 1976 NA KWA SABABU UTAFITI WA KWELI SI WAKUKURUPUKA PENGINE WENZETU WALIONA KUNA MAFANIKIO AU TOFAUTI, NA PENGINE WALIWEKA USIRI ILIKUPATA HATI MILIKI YA TIBA HIYO MIMI NA WEWE HATUJUI.KUMBUKA KUWA KILA DAWA INAYOTUMIKA INA MREJESHO HASI WAKE(SIDE EFFECTS) KWA HIYO HATUJUI FAIDA NA MADHARA YAKE BAADA YA MIEZI KADHAA AU MIAKA KADHAA.PIA WENZETU WA S.AFRICA WAKO MSTARI WA MBELE SANA KTK TAFITI ZA HIV.NDUGU ZANGU WATANZANIA NAWASHAURI SI KILA KITU UNACHOSIKIA KIPO KAMA ULIVYO AMBIWA NAOMBENI SANA TENA SANA KUKIFANYIA UCHUNGUZI JAPO KIDOGO KITU HUSIKA.NADHANI IMEFIKA KIPINDI AMBACHO HATA DAWA UKIANDIKIWA NA DAKTARI UJIRIDHISHE KWA KUGOOGLE KUJUA UHALISIA WAKE.HII IMENIKUMBA SANA KWANI UTASHANGAA WENGINE WANA KUOVERDOSE AU KUKUUNDERDOSE.KUNA TATIZO KUBWA LINALOTUSUMBUA WATANZANIA LA KUTOKUJISUMBUA KUTAFUTA UKWELI PENGINE TUNAFANYA HIVYO KDUMISHA AMANI MIMI SIJUI.NAOMBA WATANZANIA TUFUNGUKE KWANI MUNGU HAWEZI KJITOKEZA KWA KITU AMBACHO KINAFANYIWA UTAFITI KWANI MUNGU SI MWANADAMU MPAKA AIGE JITIHADA ZA MWANADAMU.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  You have a point, lakini maandishi hayo broda!
   
 3. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwanza hueleweki

  Pili umebabananisha maandishi na hakuna paragraph inachosha kusoma.

  tatu nakushauri ukanywe kikombe cha babu nahisi km unachanganyikiwa na una upungufu wa kuelewa mambo madogo madogo ktk ubongo wako. Ni vyema uwahi kabla dawa haijaisha.
   
 4. Msaranga

  Msaranga JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sijaona point yoyoye hapo serikali imeshaipeleka maabara na kuangalia side effect za hiyo dawa na wataalam wamesema ipo salama kwa hiyo wacha kuwakatisha tamaa wananchi wewe kama huamini kaa kimya acha kupotosha.ua unataka mpaka wagundue wazungu ndio uamini ?dawa zote hutakana na mimea hata zile za mahospitalini kwa hiyo mungu kamfunulia babu hiyo tiba mwenye kuamini ahamini asiye amini akae kimya
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  ofisi za shekoslovakia ukiandika kama hivi wanakufukuza kazi.

  bek to ze topik: tumekuelewa
   
 6. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wahi Loliondo mkuu!
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Amenikumbusha enzi za telegram!
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  ningependa sana kuusoma ujumbe wako lakini maandishi yananifanya nasikia makengeza
   
 9. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Daah! ! Hivi kupata kikombe Loliondo ni mara moja tu maishani? Maana kila nikiuona mgongo huu ...
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  [​IMG] kafarasi ka mleta sredi kanakimbilia loliondo kakaongezwe miguu ya nyuma.

  bek to ze topik: asante sana kwa maelezo @mleta sredi
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mkuu ushawahi kulogwa tumbo likakaa magotini? unaombwa kusitisha mawasiliano na preta haraka iwezekanavyo. ni amri sio ombi. asante kwa mashirikiano
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mamaa la Kericho huyo!
  Umerudi lini weye, na hujaja kusaini kwenye kitabu ujue!
   
 13. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni ushauri mzuri, naomba ujue watu wanapona iwe kwa imani au herb yenyewe. acha watu wenye magonjwa wakapone, wewe huumwi
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  So kwa mujibu wa mtoa mada, inamaanisha kuwa ile dawa anayotoa babu hata ikitolewa na mtu mwingine(tofauti na babu) watu watapona kama kawa?
  Na hata ikitolewa mbali na Loliondo pia watu watapona?
  Maana moja ya masharti ni kwamba dawa ni lazma itolewe na babu mwenyewe na pia ni lazma itolewe Loliondo.
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Kericho hapa.......na sasa ni githeri inaliwa taratibu........karibu
   
Loading...