Tiba ya Kiungulia

stable woman

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
3,885
4,468
Habari

Naomba kufahamishwa tiba ya kiungulia kinanisumbua hasa nikila vitu vilivyopoa Kama maharage viazi vitamu hata kitu chochote chenye harufu ya kuungulia au kushika n.k msaada please.

Natanguliza shukrani
 
Nenda Duka la Dawa lililokaribu kanunue Omeprazole capsule; Meza kimoja kila siku kwa mwezi mmoja utapoa.
 
Habari

Naomba kufahamishwa tiba ya kiungulia kinanisumbua hasa nikila vitu vilivyopoa Kama maharage viazi vitamu hata kitu chochote chenye harufu ya kuungulia au kushika n.k msaada please.

Natanguliza shukrani

pole sana dawa kula matango au matikiti maji na zaidi hiyo dalili ya vidonda vya tumbo kwa ushauli muone DR
 
Habari

Naomba kufahamishwa tiba ya kiungulia kinanisumbua hasa nikila vitu vilivyopoa Kama maharage viazi vitamu hata kitu chochote chenye harufu ya kuungulia au kushika n.k msaada please.

Natanguliza shukrani
DAWA YA KIUNGULIA: JITIBU KIUNGULIA
KULA nyanya moja asubuhi na jioni kitaondoka

1024px-Bright_red_tomato_and_cross_section02.jpg
 
madawa sikushaur miili inaharibika na madawa, acha kula hayo maharage na viaz, kula hivyo ulivyoshauriwa kama dawa na muda wa kutumia we kula tu ni mbogamboga na matunda hayo havina madhara hata vikizid
 
Mimi omeprazole imedunda, sasa hivi natumia esomeprazole angalau zinanipa unafuu, ila hilo gonjwa jamani ni hatari linatesa sana yaani hata kazi haifanyiki, kama nikipata tiba mbadala nitashukuru maana hizi za hospitali nimezichoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom