Tiba ya hernia kwa Mzee miaka65 korodani zinamuuma sana

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,717
Reaction score
4,295
Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma tezidume ionekane kama ipo au haipo. Baada ya hapo ndo kama masaa nane Sasa ndo maumivu yalianza yakorodani na kinenoa na mapajani ....msaada tiba yake nin
Nb anatezi dume imejirudia alishafanyiwa operation 2015,
 
Uko mkoa gani? Enia dawa za kienyeji zipo nyingi.

Kipimo cha tezi dume ni PSA tu damu, huko kuchokonowa walikuwa wanatafuta nini?

Muone Urologist specialist kwa issue ya tezi dume laini hizi oparesheni nazo si nzuri.

Kama mfuko wako kidogo unajiweza unaweza kupata dawa ukaachana ha hizo oparesheni.
 
Urologist wa hospital ya private ndio aliemchokonoa
 
Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma tezidume ionekane kama ipo au haipo. Baada ya hapo ndo kama masaa nane Sasa ndo maumivu yalianza yakorodani na kinenoa na mapajani ....msaada tiba yake nin
Nb anatezi dume imejirudia alishafanyiwa operation 2015,
Poleni sana. Kwa sababu shida imempata zaidi baada ya kwenda hospitali, angerudi kule kule watajua namna ya kushughulikia masumbufu yatokanayo na vipimo.

Kila la kheri.
 
Ni kweli vipimo hivyo huweza kumletea maumivu kwakuwa inapita kwenye njia nyembamba hivyo huweza kuchubua maeneo hayo kwakiasi chakupata maumivu, bila shaka alipewa dawa za maumivu hivyo baada ya muda wa 72hrs tunatarajia maumivu kupungua.
Ingawa bado atakua na maumivu kiasi kwakua tatizo bado lipo. Kama ninavyo kunukuu ni kua nikipindi cha miaka kumi toka afanyiwe upasuaji hivyo kuna muda alikua sawa.
Ikiwa sababu zakuvimba kwa gland ya prostate ilitokana pia na ulaji wa vyakula vya asidi vilivyo changia uzalishwaji wa inflammation kwenye tezi husika na kwakua pia mwili ni mfumo madhara yanaonekana maeneo ya korodani bila sha kuna maeneo mengine ya tezi yakua yamadhiri kwa asilimia kadha.
Hivyo tatizo tunaliona lipo kwenye chakula, ni vyema tukaanza na hili kuliangalia kwa kina ulaji wake uwe wa vyakula vya asili kwa sasa hasa upungufu wa matumizi ya ngano, yeast, sukari, wanga, bidhaa za viwandani n.k
Ni vyema ukataza moja ya thread/post (organic foods you must know) kutizama baadhi ya vyakula vya asili kwa ajili ya kuboresha afya, kama utahitaji link nijuze.
Kwa kuwa upasuaji ulifanyika muongo mmoja uliopita ni wazi kwa asilimia kubwa ulifanyika kwa usahihi kama palikua na dosari basi ni wazi ni Kwa kidogo. Niweke wazi hili ikiwa utaumwa kwa ugonjwa wowote ambao umetokana na mtindo mbovu wa ulaji wa vyakula basi kama utapata tiba yeyote na bado ukabaki kwenye mazoea mabaya ya ulaji basi ugonjwa utajirudia.
Hapa nina vitu vichache vyakula na dawa ambavyo ukimpatia basi vitapunguza kasi na uwezekano wa ugonjwa kuenea.
Tumia vitu vifuatavyo kwa mara kwa mara angalau mara nne kwa wiki ili kunguza adhari hizo. Navyo ni:-
• flaxseed kijiko kimoja asubuhi na jioni.
• garlic/ k. Swaumu punje tatu asubuhi na jioni.
• maboga kama chakula angalau mara mbili kwa wiki. Na mbegu za maboga atafune kama karanga at least gramu 100 kwa wiki, zinaweza kua zimekaangwa.

Kama hana matatizo mengine ya kiafya basi anaweza kufunga angalau kwa wiki mara 2, na wakati wakufungua asile vyakula vya wanga kwa sana haitakua na maana yakufung kwa tiba. Mazoezi kidogo kujipa uimara wa afya.
Haya nilieleza ni kwa ajili yakupunguza madhara. Kama utahitaji ushauri binafsi wa kina basi ni PM.

Nashukuru
 
Acha kudanganya dogo. Kwanza mika 65 siyo mzee, pili kipimo cha uvimbe wa Tezi Dume hakipiti huko!!!! Na ni unyanyasaji wa kijinsia kupima Uvimbe wa Tezi dume kwa mkono. Tezi dume linapimwa kupitia damu (PSA) au kwa ultrasound ambapo unapata CC.

Uvimbe wa Tezi dume hata kama ni kansa Wachina wanautibu bila kufanya upasuaji.

Kama kusaga Uvimbe wa Tezi Dume ndipo wanafanya operation kupitia mrija wa kukojoa ila kupima Madaktari wapuuzi wanapitisha kidole hukoooooo maana tezi dume ipo karibu na Tundu la Kutolea choo, kitu ninachokilaani maana ni udhalilishaji wa mwanaume. Siku hizi kila kiyuo cha Afya hapa Tanganyika kuna ultrasound bwana
 
Ni kweli vipimo hivyo huweza kumletea maumivu kwakuwa inapita kwenye njia nyembamba hivyo huweza kuchubua maeneo hayo kwakiasi chakupata maumivu, bila shaka alipewa dawa za maumivu hivyo baada ya muda wa 72hrs tunatarajia maumivu kupungua.
Ingawa bado atakua na maumivu kiasi kwakua tatizo bado lipo. Kama ninavyo kunukuu ni kua nikipindi cha miaka kumi toka afanyiwe upasuaji hivyo kuna muda alikua sawa.
Ikiwa sababu zakuvimba kwa gland ya prostate ilitokana pia na ulaji wa vyakula vya asidi vilivyo changia uzalishwaji wa inflammation kwenye tezi husika na kwakua pia mwili ni mfumo madhara yanaonekana maeneo ya korodani bila sha kuna maeneo mengine ya tezi yakua yamadhiri kwa asilimia kadha.
Hivyo tatizo tunaliona lipo kwenye chakula, ni vyema tukaanza na hili kuliangalia kwa kina ulaji wake uwe wa vyakula vya asili kwa sasa hasa upungufu wa matumizi ya ngano, yeast, sukari, wanga, bidhaa za viwandani n.k
Ni vyema ukataza moja ya thread/post (organic foods you must know) kutizama baadhi ya vyakula vya asili kwa ajili ya kuboresha afya, kama utahitaji link nijuze.
Kwa kuwa upasuaji ulifanyika muongo mmoja uliopita ni wazi kwa asilimia kubwa ulifanyika kwa usahihi kama palikua na dosari basi ni wazi ni Kwa kidogo. Niweke wazi hili ikiwa utaumwa kwa ugonjwa wowote ambao umetokana na mtindo mbovu wa ulaji wa vyakula basi kama utapata tiba yeyote na bado ukabaki kwenye mazoea mabaya ya ulaji basi ugonjwa utajirudia.
Hapa nina vitu vichache vyakula na dawa ambavyo ukimpatia basi vitapunguza kasi na uwezekano wa ugonjwa kuenea.
Tumia vitu vifuatavyo kwa mara kwa mara angalau mara nne kwa wiki ili kunguza adhari hizo. Navyo ni:-
• flaxseed kijiko kimoja asubuhi na jioni.
• garlic/ k. Swaumu punje tatu asubuhi na jioni.
• maboga kama chakula angalau mara mbili kwa wiki. Na mbegu za maboga atafune kama karanga at least gramu 100 kwa wiki, zinaweza kua zimekaangwa.

Kama hana matatizo mengine ya kiafya basi anaweza kufunga angalau kwa wiki mara 2, na wakati wakufungua asile vyakula vya wanga kwa sana haitakua na maana yakufung kwa tiba. Mazoezi kidogo kujipa uimara wa afya.
Haya nilieleza ni kwa ajili yakupunguza madhara. Kama utahitaji ushauri binafsi wa kina basi ni PM.

Nashukuru
Sijui ila mimi ni mhanga wa hii kitu kwa miaka 16 na Wachina wameniponyesha kwa kutumia dawa yao kwa muda wa miezi minne. Kama ni kusaga, nilisagwa miaka 8 iliyopita ila baada ya miaka 8 tena ikarudi kuvimba. Naongelea kitu nina uhakika nacho
 
Baba mkwe wangu ilianza hivi hivi ikageuka saratani ya korodani ikasambaa akapofuka Sasa marehemu.
Wahi Muhimbili.
 
Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma tezidume ionekane kama ipo au haipo. Baada ya hapo ndo kama masaa nane Sasa ndo maumivu yalianza yakorodani na kinenoa na mapajani ....msaada tiba yake nin
Nb anatezi dume imejirudia alishafanyiwa operation 2015,
Ushauri bora kuliko wote ni kumpeleka HOSPITALI. Mengine humu utapoteza muda kwa majibu ya mizaha
 
Sijui ila mimi ni mhanga wa hii kitu kwa miaka 16 na Wachina wameniponyesha kwa kutumia dawa yao kwa muda wa miezi minne. Kama ni kusaga, nilisagwa miaka 8 iliyopita ila baada ya miaka 8 tena ikarudi kuvimba. Naongelea kitu nina uhakika nacho
Sijui wapi unaona mawazo yetu yamepishana, ili nielewe hoja yako vizuri.
 
Back
Top Bottom