Tiba mbadala ni bomu linalokaribia kulipuka

Tiba mbadala ni bomu linalokaribia kulipuka

Tatizo Moja Hujui Lolote Unakurupuka Tu. Jiulize Mababu Zako Walitumia Nini Huko Nyuma.
Kwa hiyo wewe Dr Mwaka unataka kutuaminisha kwamba mmea mmoja una uwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya 40? Hebu tuambie inakuwaje.
 
Tuwe wa kweli. Dawa yoyoye inaweza kuwa tiba na pia inaweza kuwa sumu. Kuna watu wameshakuwa vipofu,wamebabuka miili, wamepooza na mengineyo kwa kupewa tiba ya kisasa hoapitalini. Tusibeze tiba za asili, kuna watu zimewasaidia na wakawa mashuhuda kwa wengine. Tiba ni hiari ya mtu na kupona ni Majaliwa. Si kila anayetibiwa lazima apone, ndo mana hata hospitali kuna mochwari za kuhifadhia maiti ambao madaktari wamejitahidi kuokoa uhai wao lakini imeshindikana.
Mkuu binafsi sijazibeza, isipokuwa Kuna uongo mwingi katika tiba mbadala, wewe unaamini ushike kifaa fulani halafu computer ianze kuprinti matatizo yako, wewe unaamini katika hilo? uguse tu uambiwe unauvimbe tumboni, damu chafu, njia ya mkojo inashida, moyo una matatizo kwa mguso mmoja tu, unaamini?
Kwanini wasipeleke hizo mashine muhimbili kurahisisha matibabu na kupunguza gharama kwa Wagonjwa, ulaya hizo mashine zinatumika? Huko sikuwambia wananchi?
 
Back
Top Bottom