Mangusha942
Member
- Jan 15, 2020
- 86
- 225
Na mimi nataka kufundishwa 😂 😂 😂 😂Tukufundishe dhambi tuhukumiwe? Aku...![]()
Na mimi nataka kufundishwa 😂 😂 😂 😂Tukufundishe dhambi tuhukumiwe? Aku...![]()
Ila dilek the way ulivyo kuwa unanizungumzia Kama vile unanijua yaani !??Kumbe sie mashetani
Ila dilek the way ulivyo kuwa unanizungumzia Kama vile unanijua yaani !??
Mpaka nimepata wasiwasi !?


nimeonyeshwa maono. Kuwa haya mambo sio yako kabisaFanya kunidm bibie maana genye ++200k lokeshen tutajuzana
Taratibu mkuuFanya kunidm bibie maana genye ++
😆😆😆😆Taratibu mkuu
Wewe na mimi tunakua wanafunzi. Then tutakua na grup discussion sie wawili tu 😀 😀 😀 😀 😀Mwalimu ni Eli79 , mie mwanafunzi
Hukuwepo kumbe, hapa tunabana manenoHuko JLW watu walikuwa wanaenjoy sana inaonekana, japo nadhani nisingepaweza.

Ha haaa discussion tenaWewe na mimi tunakua wanafunzi. Then tutakua na grup discussion sie wawili tu 😀 😀 😀 😀 😀
Yap discussion ili tuwe fiti wkt wa test.Ha haaa discussion tena
Sikuwepo na nisingepaweza hata!Hukuwepo kumbe, hapa tunabana maneno![]()