Three greatest of all time 'mou left out Cristiano Ronaldo'

Mkuu watu wa hivyo wakupuuza tu, they know Mesi yu juu ila hawampendi

King Mesi na King Diego hakuna atakae kuja kuwafunika wawili hawa, huu ndio ukweli halisi.
Uhali na ukweli huo ni kwa upande wako

Maradona kafunikwa na pele
Na Messi kafunikwa na Ronaldo

Huwezi kunilazimisha niwaze unacho waza wewe
Ambacho ni hisia tena zenye bias na zczo za kisoka
 
Huyo babu yako kamfunika King Diego kwa lipi? Najua utaniletea vikombe vyako viwili na magoli 1000.
 
Ebu zitaje hizo sababu nyingi!
Wewe mbona kila saa unataka nitaje sababu zangu wakat we zako huweki!!!!!

Hapa siyo mahakamin kuwa unihoji tuu
Wewe weka sababu zako kwanini gwiji Pele ana funikwa na mie ntaleta zangu
Yaan Fifa waseme Pele ndo bora zaid alaf we ubishie
 
Mimi huwa sikurupuki kama wewe, na huwa sitoi maneno mengi kama mtunga mashairi, ndio maana sihangaiki kukujibu, majibu yenyewe yanajulikana mzee

Five years after the award; winners Maradona and Pelé
FIFA Player of the Century was a one-off award created by FIFA to decide the greatest football player of the 20th century. Diego Maradona and Pele were joint winners of the award.[1][2] Maradona won the award based on the Internet poll, while Pelé won the award based on votes from FIFA officials, journalists and coaches.[1][2],

first time zilipigwa kura kutoka kwa mashabiki duniani Maradona amepata kura nyingi mno zaidi ya pele,fifa wakapiga ya kwao wenyewe lakini usisahau kuwa hawakuwashirikisha tena mashabiki ambao walishapiga hapo awali na maradona akawa mshindi kihalali...fifa badala yake wakawaweka wote sawa huo ni mpango wao FIFA Same JECHA.

-Maradona alipata asilimia 53.6 ya kura alizopata kutoka kwa mashabiki

-Pele alipata asilimia 18.53 ya kura alizopata kutoka kwa mashabiki

Na dunia yote inamtambua Maradona ndie best more than pele to now, japo kacheza muda mfupi sana lkn kaonyesha mambo makubwa mno kwenye soka ambayo hayakufanywa na mchezaji yyte yule except King Leo10s,

Alaf nataka nikuambie kitu kingine..usipende kukariri makombe kijana, kuwa na makombe haikufanyi wewe uwe bora zaidi ya yule asiyekuwa na makombe,kwaiyo kama kigezo chako ni makombe basi hata akina muller,podoski,fabregas,silver Nk. wote ni mabest player kuwahi kutokea sindio? Ni hayo tu.
 
Bro he is going to argue with u..na ndio kawaida yake
 
Hivi mkuu una piga kura mmoja kacheza mwaka 1950-1970 na mwingine kacheza mwaka1980- 1996
Halafu wana piga kura mwaka 2000 halafu wanatumia internet

Hivi mkuu huoni kama haikuwa njia fair ya ku determne huo ushindi kwa sabab ya generation gap!!?
Ndo FIFA technical commitee walikaa wakaona huo ni uhuni na ku msabotage mfalme Pele hapo huihataji FIFA tumia akili zako tuu za kuzaliwa

Nakupa mfano wwe wali conduct polls John Cena ali onekana bora kuliko Andre the Giant kitu ambacho si kweli ila mmoja anapata advantage ya kura na gap ya vizazi walivo ish
 
Hivi mkuu una piga kura mmoja kacheza mwaka 1950-1970 na mwingine kacheza mwaka1980- 1996
Halafu wana piga kura mwaka 2000 halafu wanatumia internet

Hivi mkuu huoni kama haikuwa njia fair ya ku determne huo ushindi kwa sabab ya generation gap!!?
Ndo FIFA technical commitee walikaa wakaina huo ni uhuni na ku msabotage mfalme Pele hapo huihataji FIFA tumia akili zako tuu za kuzaliwa

Nakuoa mfano wwe wali conduct polls John Cena ali onekana bora kuliko Andre the Giant kitu ambacho si kweli ila mmoja anapata advantage ya kura na gap ya vizazi walivo ish

Sasa why unakua mbishi kihivyo? every day Wataka wafuate unachokitaka wewe,so Usilazimishe unachokitaka wakifuate na wengine!!!!!!!Panther kafafanua very well lakini hukubali to.why?
 
Ingawa tayari ametundika daluga zake, Maradona ndiye “mwanasoka bora wa muda wote” wa Shirikisho la Kandanda la Dunia (FIFA). Alishinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Karne iliyofanyika kwa uwazi mwaka 1999 na kumtupilia mbali Mfalme wa Kandanda Duniani, Pelé.

Mchuano huo uliendeshwa na mtandao rasmi wa FIFA, jarida la shirikisho hilo na mfumo wa kisheria. Alikusanya asilimia 53.6 akifuatiwa na Pelé aliyepata asilimia 18.53 tu kati ya kura zote zilizopigwa.

Hicho kipande soma, na sio mimi nilieandika
 
Mkuu kubishana na type za namna hii utapata presha:D:D ukweli wanaujua ila kuna ubinafc flani ivi ndio unasumbua
 
Ili Messi awe bora, alipaswa kucheza ligi tofauti tofauti. Kwangu Ronaldo ni bora zaidi kwa sababu hiyo...Maradona, Pele, Ronaldino, Rivaldo, de Lima, Zidane, Ibrahimovic etc..wote ni bora kwa sababu wamecheza ligi tofauti na wakaweza.
Huo ni mtazamo wako! Unavyosema ligi tofauti tofauti una maana gani? Yaani ligi zingine tofauti na mpira wa miguu, ili tujue kama pia anaweza? Yaani acheze netball, basketball, volleyball, rede... Walau atuoneshe kuwa je na ligi hizo yuko vizuri? Si ndo hivyo mkuu?
Na kama sio hivyo basi jua k wa hiyo ni miongoni mwa hoja chovu ambayo Watu huitamka...suarez, sanchez, etoo,ibrahimovic n.k..wamecheza ligi tofautitofauti kwa mafanikio... Hivyo wao ni bora kuliko messi??? Mpira ni mpira tu hivyo kama unajua popote pale utacheza kwa kiwango...kushuka kiwango husababishwa na vingi ila sio kuhama ligi!!!
 
Sasa why unakua mbishi kihivyo? every day Wataka wafuate unachokitaka wewe,so Usilazimishe unachokitaka wakifuate na wengine!!!!!!!Panther kafafanua very well lakini hukubali to.why?
Mkuu
Umesoma reason yangubya kuwa mbishi
Au ina kurupuka

Hivi mtu mwenye magili zaid ya 1000,na makombe ya dunia ma 3 unasema alipitwa kwa kura ambazo zimefanyika miaka miaka zaid ya 30 ya kucheza kwake!!!!

Be reasonable bhana
 
Ingawa tayari ametundika daluga zake, Maradona ndiye “mwanasoka bora wa muda wote” wa Shirikisho la Kandanda la Dunia (FIFA). Alishinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Karne iliyofanyika kwa uwazi mwaka 1999 na kumtupilia mbali Mfalme wa Kandanda Duniani, Pelé.

Mchuano huo uliendeshwa na mtandao rasmi wa FIFA, jarida la shirikisho hilo na mfumo wa kisheria. Alikusanya asilimia 53.6 akifuatiwa na Pelé aliyepata asilimia 18.53 tu kati ya kura zote zilizopigwa.

Hicho kipande soma, na sio mimi nilieandika
Nimesha tolea ufafanuzi wa hilo na nikasrma kwa nini FIFA technical committee ili lipinga
Sjui unataka niseme nini sasa
 
Inaeleweka kuwa Mou na Ronaldo hawaivi ila pia kila mtu ana list yake

Sir Alex yeye anaona Ronaldo ni bora

Mimi list yangu ni

1.Pele
2.Maradona
3.Ronaldo
Baada ya kutolewa man u kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya barcelona...ambapo abidal alikuwa anaumwa nafasi yake ikarithiwa na Yaya toure! Ferguson alisema Messi alikuwa mwiba kwao kwasababu hawakuweza kumdhibiti! Kiufupi alimvulia kofia, kipindi ambacho huyo ronaldo alikuwepo Man U!!! Huyo ferguson mchezaji wake bora ni messi ila hataki kumkera kijana wake (ronaldo)!
Wenger kashahojiwa sana...yeye kafunga brwki kabisa kuwa hakuna kama MESSI!!!
 
Huo ni mtazamo wako! Unavyosema ligi tofauti tofauti una maana gani? Yaani ligi zingine tofauti na mpira wa miguu, ili tujue kama pia anaweza? Yaani acheze netball, basketball, volleyball, rede... Walau atuoneshe kuwa je na ligi hizo yuko vizuri? Si ndo hivyo mkuu?
Na kama sio hivyo basi jua k wa hiyo ni miongoni mwa hoja chovu ambayo Watu huitamka...suarez, sanchez, etoo,ibrahimovic n.k..wamecheza ligi tofautitofauti kwa mafanikio... Hivyo wao ni bora kuliko messi??? Mpira ni mpira tu hivyo kama unajua popote pale utacheza kwa kiwango...kushuka kiwango husababishwa na vingi ila sio kuhama ligi!!!
Sijawahi kutokuwa na heshima ya kumlinganisha messi na eto'o,

Lakin kwenye kuchanua ligi mbali mbali etoo au Ibra wamemzidi messi
Ukipima mafanikio ya ubingwa tuu pia huta waacha Xavi, iniesta, dani alves na Paulo Mardin

Lakin tunapo mlinganisha messi na Ronaldo hiyo factor haiwez kuondolewa

Kwa hiyo sioni kama ni hoja chovu
 
Back
Top Bottom