Three greatest of all time 'mou left out Cristiano Ronaldo'

Umekosea mkuu washabiki wa Ronaldo ni wa wazi kweli na kama wasingekuepo hata huu mjadala ungeisha mapema.

Nimeweka sababu zangu labda nizirudie
Ronaldo kachaze ligi mbili na timu mbili tofauti na kafanikiwa kushinda kila kitu kwenye kila timu

Nika maliza kuwa Ronaldo kachukua ubingwa wa Euro

Kwenye individual records ndo usiseme bado ana zieka na kuvunja
Pia kawa consistent toka 2003, hadi sasa na bado jamaa yuko juu

Lakin wewe una ishia kusema Messi ni king sasa u king uko wapi!!? Weka sababu kama mimi nlivo eka zangu

Ulianza kufuatilia mpira ndo kitu unacho ishia kujitetea wakat pia hujui mi nilianza lino kifuatila!!
povu la nini
NIKUSAHIHISHE
Penado ama mmorocco kacheza ligi 3
Pili Nitajie rekod 5 tu za King kat ya rekod zake zaid ya Laki 1 zilizovunjwa na mmoroco ili niwe mshabiki wake kuanzia sasa

Mkono mtupu haulambwi weka ushahid
Nasubiri sitak ngonjera
 
Umeongea vyema kuwa pele alitoka akaenda kwingine
Pia usisahau Pele kachukua kombe la dunia Mara 3,na ana Magoli zaid ya 1000
Yaan huyo kila kitu ka kamilisha.

Messi naye aende kwingine aka ji prove
Magoli ya zama za no offside binafs huyu Pelle ni mchezaj wa kawaida sana nyuma ya Giroud
 
Hahaha
Nnacho jua yuko kwenye Guinness World Book of Records kwa kuwa na most career goals scored in football.

Pili kwanza nashangaa unataka kumfananisha Pele na watu wengine hiyo ni dharau sasa

Messi hawezi kuchukua World cup 3, ok hawezi kuchukua hata Copa America moja, tena asha staafu so haita tokea. Kwa hiyo huku kashndwa hana jipya

Basi tusema atafute hata club nyngne akapate Mafanikio, ndo maana Maradona alienda Napoli timu ya kawaida kabsa enzi hizo na aka beba ubingwa.

Hiyo yote tuna taka ili at least a prove kuwa akicheza na watu tofaut na kina Iniesta ata beba ubingwa, hata wa bara tuu
Yaan ana shinda katika diversity conditions
Na sija sema hawezii kushinda akienda club nyngne, nampa benefit of doubt lakin aka prove ili tuone kama ata waigaa legends walo weza kushinda sehem tofaut tofaut na mashindano tofaut tofauti kama Ronaldo, Maradona na Pele
Hapa mm ndio ninaposhindwa waelewa wakaanga sumu
Hivi Messi kacheza na Bayern Madrid Mwanitesa United Arsenal zoooote hzo team kaziadhibu atakavyo tena kwa uwezo binafs sasa bado hamtoshek
Kweli Binadamu wamezaliwa wanasema Kila kitu maneno maneno
 
Hata Ronaldo magoli 500 kafika(so naye tuna subir)
Hata de lima alifika idadi hiyo
Subiri huyo Messi akifikisha 1000 tuta zungumzia hilo

Kuchukua kombe ni kigezo mkuu, na ndiyo product ya individual brilliance, na kwa sababu individual perfomance na team perfonce vina athiriana

Pia kwakuwa hata Pele mwnyewe gwiji la magwiji haezi cheza peke ake lazima tujaji kwa kupitia vyote

Angalia sehem zote alizo cheza Messi haja wahi kuwa na kikosi kibovu nyuma yake (jambo ambalo si kosa na wala si lazima litojekee lakin lina mantiki kwenye uchambuzi).

Messi ni mchezaji mzuri sanaa, lakini ambaye pia kabahatika kila ana po amka kazungukwa na wachezaji bora kabisa pale barcelona
Barcelona ni club bora HVO lazma iwe na wachezaj bora kwani ulitaka upangwe ww pembeni ya King Messi
 
Wewe ndio ujui chochote kabisa.
1. Diego Armando Maradona
2. Leonel "king" Massijah
3. Pele.

Mourinho yupo sahihi sana. Unajua Ronaldo wa ukweli yaani di Lima pamoja na kucheza kote soka na vilabu vikubwa hakuwahi kushinda UCL! Huko hakumfuanyi asiwe mmoja kati ya washambuliaji wakali kutokea kwenye hii dunia.
Ila ameshinda copa america 3 na world cups 2,huyo ni bora mno
 
Nje ya Barcelona Messi ni wakawaida sana,mafanikio yote kayapatia Barcelona,Timu ya Taifa kamaliza kwa aibu.
 
Jose Mourinho has named the three footballers who he thinks are the greatest of all time. ‘The special one’ was asked to name his picks for the three greatest players in football history, to which his response was "For me, the top three players in history are (Lionel) Messi, Pele and (Diego) Maradona."

While few will argue that these players are indeed among the greatest of all time, there is one name that is conspicuous in its absence - Cristiano Ronaldo. The Manchester United manager had worked with his fellow countryman for three years at Real Madrid, and many are surprised that the mercurial forward wasn’t mentioned in his list.

The debate has been raging on for many years now over who the best player of the current generation is, and it unsurprisingly comes down to either Lionel Messi or Cristiano Ronaldo. The two players have smashed a truly staggering number of records between them, and their playing on opposing sides of one of the biggest rivalries in world football only serves to divide their fanbases further.

The fact that Mourinho named Messi as one of the greatest of all time and omitted his Portuguese compatriot from that list seems to indicate where he stands on that particular debate.

Also read: Die hard fan swims out to yacht to meet Barcelona star Lionel Messi

Ronaldo won’t be too happy about the snub from his ex-manager, but perhaps isn’t overly surprised by it. The two of them had a tense and difficult relationship at Madrid. Mourinho felt that Ronaldo refused to listen to his instructions, and sensed an air of arrogance and over-confidence in him.

Cristiano didn’t like the defensive and negative tactics often used by his manager, and on one occasion even urged his teammates to abandon their game plan and play a more attacking brand of football. They went on to lose that match 0-2 at the Santiago Bernabeu against fierce rivals Barcelona.

After the game, Mourinho gave his star player a stern talking to, and an argument followed. Ronaldo was then dropped from the starting squad for their next game against Real Zaragoza, which they lost 2-3 at home.

There will be many to defend Mou’s choices and there will be just as many to argue them, but that is of little significance. Both players are widely recognised as two of the best to ever grace a football field with their presence, and picking a favourite between the two is simply a matter of personal preference. Now we know the opinion of one of the most intelligent people in football today, and it is just that. An opinion.

Neno lake sio torati...
Ukizingatia hajawahi hata kupigwa tama mpirani.
 
Wewe ndio ujui chochote kabisa.
1. Diego Armando Maradona
2. Leonel "king" Massijah
3. Pele.

Mourinho yupo sahihi sana. Unajua Ronaldo wa ukweli yaani di Lima pamoja na kucheza kote soka na vilabu vikubwa hakuwahi kushinda UCL! Huko hakumfuanyi asiwe mmoja kati ya washambuliaji wakali kutokea kwenye hii dunia.

1. Hana Champions League
2. Mstahafu, hana World Cup wala Copa America
3. Aliishia ligi ya Marekani, hakufika Ulaya
 
Hahahaaa huwa nacheka sana tunavyowajadili malejendary akina Diego,Messi na pele..alaf mnakuja na kadinho kenu level ya akina iniesta di maria,Aguero ronaldo, vimechi vyenyewe alivyocheza havifiki hata 10:D,alaf mnamshobokea kwelikweli,...wabongo bana matata saana

Hah hah hah hivyo hivyo vimechi kumi akabeba champions League, akabeba World Cup na Copa America na akaja Ulaya akauchezea mpira anavotaka...na hata akistahafu basi atakuwa katupa kila alichoagizwa kutupatia toka Mbinguni...

Nimekuja msemaji wake
 
Magoli ya zama za no offside binafs huyu Pelle ni mchezaj wa kawaida sana nyuma ya Giroud

:Dyule babu hana lolote mi huwa nawashangaa watu humu wanaomshobokea wakati hakuwa na kivutio chochote ktk mpira..kipindi hicho kama ni Messi ama Maradona wangekuwa na magoli 3000 na world cup sio chini ya 4,
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hah hah hah hivyo hivyo vimechi kumi akabeba champions League, akabeba World Cup na Copa America na akaja Ulaya akauchezea mpira anavotaka...na hata akistahafu basi atakuwa katupa kila alichoagizwa kutupatia toka Mbinguni...

Nimekuja msemaji wake

Wewe nilishakusoma kitambo mambo ya mpira hujui, bali unamjua gaucho tu, wakati juzi tu siku 3 zilizopita huyo gaucho wako amekiri kuwa Messi ndie mchezaji bora wa dunia..

Alaf kitu kingine utaifa unatuponza sana baadhi yetu sisi waafrica na hasa wabongo, lau Diego Maradona Ama Leo Messi wangekuwa weusi leo hii nadhani mnaowachukiwa wawili hawa mngewakubali zaidi ya hao wengine, lakini mbali na hayo wawili hawa waliotoka taifa moja wataendelea kuwapa anxiety disorders..no way itatubidi tuwakubali tu hata kama ni white lakini haki yao lazima tuwape,

Leo 10s
Diego 10s

Sijapata kuona kama hawa tangia niletwe hapa duniani
 
Umekosea mkuu washabiki wa Ronaldo ni wa wazi kweli na kama wasingekuepo hata huu mjadala ungeisha mapema.

Nimeweka sababu zangu labda nizirudie
Ronaldo kachaze ligi mbili na timu mbili tofauti na kafanikiwa kushinda kila kitu kwenye kila timu

Nika maliza kuwa Ronaldo kachukua ubingwa wa Euro

Kwenye individual records ndo usiseme bado ana zieka na kuvunja
Pia kawa consistent toka 2003, hadi sasa na bado jamaa yuko juu

Lakin wewe una ishia kusema Messi ni king sasa u king uko wapi!!? Weka sababu kama mimi nlivo eka zangu

Ulianza kufuatilia mpira ndo kitu unacho ishia kujitetea wakat pia hujui mi nilianza lino kifuatila!!

Mimi nilishakuletea evidence sana tu ktk prevs thread...ila nakushangaa kila day unang'ang'ania nikupe huo ushahidi,ni ushahidi upi huo unao uhitaji?sijui huwa hufatilii post zetu ama ni ubishi tu,sasa ingia gooogle kila kitu kitakupa ukweli, pia kabla ya kupata huo ushindi potugo kwanini tulikuwa tukiwaomba records za huyo rukaruka wenu mnakimbia? Leo timu yake imeshinda chini ya mgongo wa EDER na yeye akiwa benchi ndio mnatuletea virekodi vyenu hapa hahaaa nyie watu wa ajabu sana, pamoja na hayo lkn bado saana kumfikia mfalme huyu.
 
Mimi nilishakuletea evidence sana ktk prevs thread,ila nakushangaa kila day unang'ang'ania nikupe huo ushahidi,ni upi sasa unaohitaji?sijui huwa hufatilii ama ni ubishi tu,sasa ingia gooogle kila kitu kitakupa ukweli, pia kabla ya kupata huo ushindi potugo kwanini tulikuwa tukiwaomba records za huyo rukaruka wenu mnakimbia? Leo timu yake imeshinda chini ya mgongo wa EDER ndio mnatuletea virekodi vyenu hapa hahaaa nyie watu wa ajabu sana, pamoja na hayo lkn bado saana kumfikia mfalme huyu.
We jamaa una ka asili ka uongo na kuto jibu maswali
Kila siku hapa mna msema Higuain hakufunga unadhani angefunga sifa zinge mwendea nan!!?
Huyo eder alivo fika finali Nusu fainali aliwapeleka yeye!!?
Infact Cr7 aliumia, hakukimbia mechi

Rekodi za Messi nnazo zijua ni kachza ligi moja na club moja tangu ana kua na kashinda vitu vingi hapo, aki bebwa na wakali wengine wa timu hiyo ambayo ni Barca (kitu ambacho si kibaya na hakimfanyi asiwe mchezaji mzuri) lakin hawezi kujiweka kwenye tabaka la watu walio shinda wakiwa na zaid ta timu moja na zaid ya aina tofaut tofaut za mashindano
 
Wewe nilishakusoma kitambo mambo ya mpira hujui, bali unamjua gaucho tu, wakati juzi tu siku 3 zilizopita huyo gaucho wako amekiri kuwa Messi ndie mchezaji bora wa dunia..

Alaf kitu kingine utaifa unatuponza sana baadhi yetu sisi waafrica na hasa wabongo, lau Diego Maradona Ama Leo Messi wangekuwa weusi leo hii nadhani mnaowachukiwa wawili hawa mngewakubali zaidi ya hao wengine, lakini mbali na hayo wawili hawa waliotoka taifa moja wataendelea kuwapa anxiety disorders..no way itatubidi tuwakubali tu hata kama ni white lakini haki yao lazima tuwape,

Leo 10s
Diego 10s

Sijapata kuona kama hawa tangia niletwe hapa duniani

Huyo hana tofauti na yule waziri wa habari wa Iraq kipindi cha Sadam...
 
Soma vizuri maana yangu utaielewa

:(Wewe kajamaa huwa kabishi muno,waga hukubali ukweri, na lazima utie na chumvi ili inoge zaidi,, naona tu unavowakunjia ngumi kaka zako waliokufundisha mpila PNC,BLACK P,ZIROSEVENTY TWO N.K.. kaazi kwelikweli
 
Mimi nilishakuletea evidence sana tu ktk prevs thread...ila nakushangaa kila day unang'ang'ania nikupe huo ushahidi,ni ushahidi upi huo unao uhitaji?sijui huwa hufatilii post zetu ama ni ubishi tu,sasa ingia gooogle kila kitu kitakupa ukweli, pia kabla ya kupata huo ushindi potugo kwanini tulikuwa tukiwaomba records za huyo rukaruka wenu mnakimbia? Leo timu yake imeshinda chini ya mgongo wa EDER na yeye akiwa benchi ndio mnatuletea virekodi vyenu hapa m nyie watu wa ajabu sana, pamoja na hayo lkn bado saana kumfikia mfalme huyu.

Mkuu Ht mimi nishawahi kumpa ushaid tosha lkn kanajifanya eti hakajui, it's okay twendenao tu iv iv, ipo cku watamjua Mfalme ndiye nani wakat huo atakua zaidi ya leo
 
Mkuu Ht mimi nishawahi kumpa ushaid tosha lkn kanajifanya eti hakajui, it's okay twendenao tu iv iv, ipo cku watamjua Mfalme ndiye nani wakat huo atakua zaidi ya leo

Mkuu watu wa hivyo wakupuuza tu, they know Mesi yu juu ila hawampendi

King Mesi na King Diego hakuna atakae kuja kuwafunika wawili hawa, huu ndio ukweli halisi.
 
Back
Top Bottom