Usisahahu de lima kachukua World Cup na ndo kinacho mfanya awe bora zaid, na ndo kina wafanya Pele na Maradona wawe wacheza bora wasio pingika kwa muda woteWewe ndio ujui chochote kabisa.
1. Diego Armando Maradona
2. Leonel "king" Massijah
3. Pele.
Mourinho yupo sahihi sana. Unajua Ronaldo wa ukweli yaani di Lima pamoja na kucheza kote soka na vilabu vikubwa hakuwahi kushinda UCL! Huko hakumfuanyi asiwe mmoja kati ya washambuliaji wakali kutokea kwenye hii dunia.
Alibaguliwa na Pep...Barcelona wanaongoza kwa ubaguzi.Ibrahimovic spain kulimshinda
Messi amrkaririDuh kapotea uyo, still mwanafunzi kwenye haya mambo
Kwahyo kuchukua kombe la dunia ndio zaidi??Szczesny said:Usisahahu de lima kachukua World Cup na ndo kinacho mfanya awe bora zaid, na ndo kina wafanya Pele na Maradona wawe wacheza bora wasio pingika kwa muda wote
Inaeleweka kuwa Mou na Ronaldo hawaivi ila pia kila mtu ana list yake
Sir Alex yeye anaona Ronaldo ni bora
Mimi list yangu ni
1.Pele
2.Maradona
3.Ronaldo
Yes mi ni shabiki wa Real Madrid lazma nimfahamuUnamfahamu Alfredo Stefano" de Stefano??
HahahaKwahyo kuchukua kombe la dunia ndio zaidi??
Bas hata wakina cannavaro wa Italy,gatuso,Muller ,podoliski nao ni zaidi
Yes mi ni shabiki wa Real Madrid lazma nimfahamu
Kumbuka naye pia hakubeba World cup, wala hata kikombe cha ndondo na timu ya taifa
Hakipunguzi ubora alio kuwa nao na heshima aliyo nayo kama mwana soka boraKwaiyo kigezo ni kombe isimfanye awe bora?
Okay na Mario Kempes wamfahamu?
Hakipunguzi ubora alio kuwa nao na heshima aliyo nayo kama mwana soka bora
Lakin hapo inapungiza sifa ya kuekwa kwenye class ya kina Pele na Maradona
Simjui vizuri kwa kweli ila najua naye kasha shnda world cup na argentina nadhan
DuuhMARIO KEMPES ARGENTINA STRIKER
Club
Valencia
Copa del Rey: 1978–79
UEFA Cup Winners' Cup: 1979–80
UEFA Super Cup: 1980
River Plate
Primera División: 1981 Nacional
International
Argentina
FIFA World Cup: 1978
Na huyu naye ana makombe, 1978 na 1986 akiwepo na Baba yake wa soka DIEGO10s.
So huyo anaerukaruka uwanjani unamchukulia vipi kwa ma-legendery hawa? Hapo Mfalme nimemweka pending coz anajulikana ni nani..
Duuh
Ukisema hivo basi kaangalie cv ya buffoni, Pique, Mata, Lilian Thulam, Trezegut, na makelele
Nani asiye jua kuwa pele na maradona ni exceptional players lakin na vikombe ndo vina onyesha effect ya exceptionality yenyewe
Kaitafute Napoli aliyo ibeba maradona huko Italy pia na world cup kabeba, Pele ana Magoli zaid ya 1000 yet ame beba makombe ya dunia mara 3.
Ronaldo ame beba Euro Cup, halaf cheki na individual records zake na asha sumbua ligi kubwa 2 dunianj, ndo maana kakaa namba 3 hapo
Unatak nimuweke mtu anaye bebwa na kina iniesta daily!!? Uo utakuwa ni ushabiki sasa usio na tija
Wewe Messi umemuweka kwa kigezo kipi!!?Kwa Diego nakubali bila ubishi 100 Percent..except pele hakuwa na mvuto zaidi japo ana makombe mawili,na la tatu alikuwa injury....huyo ronaldo unamweka hapo kwa kigezo kipi euro cup ama? Ndio maana nikakuuliza Alfredo na Mario unawafahamu vizuri? Au umeanza kucheki ball 2010 era ya
Sasa kama unampinga alfredo kwa taarifa yako rekod zake nyng tuu Raul alizivunja hapo sisemi Ronaldo, ila bado ni legendary vile vileKwa Diego nakubali bila ubishi 100 Percent..except pele hakuwa na mvuto zaidi japo ana makombe mawili,na la tatu alikuwa injury....huyo ronaldo unamweka hapo kwa kigezo kipi euro cup ama? Ndio maana nikakuuliza Alfredo na Mario unawafahamu vizuri? Au umeanza kucheki ball 2010 era ya
Sasa kama unampinga alfredo kwa taarifa yako rekod zake nyng tuu Raul alizivunja hapo sisemi Ronaldo, ila bado ni legendary vile vile
Kwa Pele na Maradona ukiweka doubt kwa mmoja wapo yyte hiyo tuna iita bias, tena namheshimu Maradona hata kama alikuwa ana ji boost na madawa